Single FATHER is lost after his Only GIRL started to CHANGE//BabaOlivia Ep 07

preview_player
Показать описание
#BabaOlivia ama #gabozigamba ana anza safari ya kihisia ya baba mpendwa anayejikuta akichanganyikiwa na kupotea wakati binti yake pekee anapokomaa na kubadirika. Shuhudia wakati halisi na wa kweli anapojitahidi kuelewa mabadiliko katika uhusiano wao na kujifunza jinsi ya kukabiliana na sura hii mpya katika maisha yao.

Kutoka kwa siku za utotoni zisizo na hekaheka,ugumu na pirika za ujana, Mpaka kwenye maisha mapya yenye mtazamo na hisia mpya, Episode hii ina angazia uzuri wa upendo usio na masharti wa baba pamoja changamoto za kulea mtoto wa kike. Jiunge nasi kwa hadithi ya kugusa na inayoweza kueleweka kwa kila mzazi na mtoto.

Tazama jinsi baba anavyotafuta ushauri, kufanya makosa, na hatimaye kukua pamoja na binti yake, akigundua kwamba uhusiano wao unazidi kuwa na nguvu kupitia kuelewa na kukubali. Usikose mfululizo huu wa hisia ambao utakufanya uone thamani zaidi ya safari ya uzazi.

......................................................................................................
In this heartfelt episode of Baba Olivia Series, we dive into the emotional journey of a loving father who finds himself confused and lost as his only daughter blossoms into maturity. Witness the raw and honest moments as he grapples with the changes in their relationship and learns to navigate this new chapter in both their lives.

From the innocent days of childhood to the complexities of adolescence, this episode beautifully captures the essence of a father's unconditional love and the challenges of letting go. Join us for a touching and relatable story that resonates with every parent and child.

Watch as the father seeks advice, makes mistakes, and ultimately grows alongside his daughter, discovering that the bond they share only strengthens through understanding and acceptance. Don't miss this emotional rollercoaster that will leave you with a deeper appreciation for the journey of parenthood.
Don't forget to like, comment, and subscribe for more! 💪👧❤️
For business:

#BusinessTips #FatherDaughterDuo #Entrepreneurship #SmallBusiness #Gabozigamba #BabaOlivia #BusinessLessons #Inspiration #FamilyBusiness #motivation
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kazi mzuri sn wanaotaka maalimu na baba Olivia wawe pamoja wagonge like nyingi apa

UmiMarya
Автор

Ila mwalimu ni mrmbo sana nipeni likes kumi jameni kwa kumsifia mwalimu

PatrickMua
Автор

Kwa ambao wanatamani kumjuwa mama olivia gonga likes nyingi ❤❤❤

OmariAbedi
Автор

Jaman wanaotamani Baba Olivia Amuoe mwalimu wa Olivia weka makipa mengimengi hapa

raymondzachariah-xrys
Автор

By Mr love hii tamthilia jaman ina maudhui mazuri wanaokubali gonga like

StibaMaiko
Автор

Yaani toka nizaliwe ndo napata Kuona Movie kali yenye maadil mazuri na mafunzo yenye kutafakarika kama hii❤❤❤Allah awawekeeni na awape nguvu na maarifa zaidi ili muendelee kutupa vitu adhwim ❤❤nawapendeni kwa ajili ya Allah

ndayisengaamissi
Автор

Yani gabo umu ka act km baba yangu❤❤❤ Allah mlinde baba yangu❤

AsherSaydd-bozi
Автор

Igiza ya huyu mtoto kama lulu Michael wa zamani

upendommbaga
Автор

Njooni huku olivia amekuwa vigelegele 🎉🎉🎉🎉

ukhtymwana
Автор

Olivia kwa umri wake na uhusika aliouvaa 🙌🙌🙌 kipaji kikubwa Sanaa kutoka TUKITUNZE KIPAJI HIKI NA AENDELEE KUPATA NAFAS ZAID NA ZAID

sbaam
Автор

Mwalimu wa Olivia namtazama kwa jicho tofauti kabisa. Huyu mama ni mzuri sana

ZakiaLilai
Автор

Kwa ambao wanatamani itoke yoteee kwa pamojaaa naomba tujuane kwa like tafadhali🥹

Allankibweja
Автор

Hii movie napenda sana ila mnachelewa sana🎉🎉

Hadijawashuma
Автор

Actually nilikuwa sifatilii movie zakibongo Ila iyi kuna siku nilijichanganya kuichek daah yani kila ikitoka nawai kuichek movie inaakili sijuwi it Aisha je Iła big up kwa yeyot alie shiriki natumain amto tudisappointe

officialdon
Автор

Namtazama baba Olivia, natafakari na wababa wengine kwneye Jamie, mbona kama kuna upungufu wa upendo kwa watoto 😢😢

bettykihwele
Автор

Olivia is a wonderkid congratulations to her, Gabo zigamba, kama kunakitu unatakiwa ukifahamu wewe ni mmoja ya waigizaji Bora kuwai kutokea katika uso huu wa Dunia mwenyezi mungu asimame na wewe siku zote za maisha yako... Legend Gabo Zigamba

jasphonejoseph
Автор

Baba Olivia tunamupongeza sana sisi tuko Burundi Rugombo tunamufatiliya sana❤✌

BenbossMunezero
Автор

My peaple from Rwanda Burundi naomba like zenu kama tupo apa pamoja kwa Baba olivia ❤❤🇧🇮🇧🇮🇷🇼🇷🇼❤❤

brodeoofficiel
Автор

For sure Olivia anajua saana kucheza na kamera maana anakuwa kama vile hamna kamera mbele yake very reallife

HOMEPRINTING-kw
Автор

Episode Moja kwa Wiki ni Ukatili, Acheni kutukatili Jamani.... Ikiwezekana Mwe mnaweka Kila siku!

Erastusbaba