Chege ft. Lady Jay Dee - Mambo Bado (Official Video)

preview_player
Показать описание
Song: Mambo Bado | Artist: Chege ft. Lady Jay Dee

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mpaka 2024 now mambo bado🙆‍♀️🙆‍♀️ au kwenu mambo tayr wakuu

mushy
Автор

Mpk Leo 2024 kwetu mambo bado kabisa vp kwenu

ahmedmudric
Автор

Sauti ya Chege ni ya pekee sana, huchoki kuisikiliza ❤❤❤

bosslilyg
Автор

hii nyimbo ilikuwa inaniliza sana nilikuwa mdogo darasa la pili ila nilikuwa nalia kama naelewa vile🥲

Tiffanieofficial_
Автор

Chegge piga remix ya hiii ngoma shilikisha wasanini wote wa kubwa wa east africa itaenda far away....

EdghaMoses-jslj
Автор

Nani yupo hapa wakati huu wa COVID - 19?
17.05.2020

amonjason
Автор

Nakumbuka Niko home mwanza nyambiti nilikuwa naumwa mkono dah 2010 saivi Niko shiy

michaelpaulo
Автор

Chege fanya remix ya hii nyimbo shikilikisha wasanii wa est Africa Kenya Uganda nk wale wasanii wakal

omarykitololi
Автор

2023 💥💥💥💯
I'm still listening to this masterpiece
Give me likes
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮

gaudioserigi
Автор

Kipindi hicho mwangu ndo anajifundisha kusema akawa kaikamata koras ya mambo Bado dahh

mwalimumohamed
Автор

mambo Bado na Ndio yanazidi kuwa mabaya

mustakimutwaliki
Автор

Duu bwana mkubwa uriumiza kichwa hisia zinazo ixhi ndicho ulicho kifanya Hadi Leo ukixkiriza ni hit song

nashonmwinuka
Автор

Safi sana kwa wimbo mzuri sana naipenda sana

bihimomasemo
Автор

Mambo bado tena sana kama bile mlijua duh!!😥😥

stevenmunyanzesa
Автор

Mambo bado....wakati wa mungu utafika ipo siku

WalterSimiyu-vz
Автор

Hatari hi ngoma nilikua dar wakati inatoka chege na jide comando wako juu

nkumbimnyamwezi
Автор

Jay Dee nakukubali sana pamoja na chege

kellylumire
Автор

2023 nipo apa nime miss nyimbo zazamani kama unakubali gonga like tuone

cabylake
Автор

Daaah kweli chege anaweza kuimba nani ponami saahii twende pamona kweli mambo bado 4 9 2020

daniellemmbaga
Автор

Zamani wasanii wanaimba bwana dar safi sana

simonfrancis