ULIVYO KWA ULACHO na Mama Terry: Kwanini Usile Chakula kingi sana au kwa papara

preview_player
Показать описание
Kwenye episode hii ya 3 ya #UlivyokwaUlacho, Mama Terry anakueleza umuhimu wa kula chakula cha wastani na kuacha kuwa na pupa wakati wa mlo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asante sana mama Terry, hakika nimefurah kukusikia tena na zaidi nikakuona, miaka ya 1990 na kuendelea nilikusikilizaga sana mara hukusikika tena, nafurahi umerudi tena kutupa mafunzo

mayrfrimi
Автор

Asante sana Mama Kwa kutupa elimu hii, watu tumeyapanua matumbo baada ya uzazi leo tunajuta.

MsAggie
Автор

Asante sana mama Kwa somo ila nimecheka🤣🤣🤣🤣🤣

aishaa
Автор

Masha Allah mama teri ndio mana unangara kumbe misosi unaijulia ya kula asante kwa somo zuri sana

eyabdimaha
Автор

Kula lumbesa, ,,piga pushapu mia, ,,Lala😂😂

vibetz