DADA WA AMINA BORA NDOA IFE NAUNGA MKONO MDOGO WANGU HAWEZI KUACHA KUCHEZA CHUR

preview_player
Показать описание
DADA WA AMINA BORA NDOA IFE NAUNGA MKONO MDOGO WANGU HAWEZI KUACHA KUCHEZA CHUR
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ndio maana tukaambiwa tuchague wenye dini. Sisi ni waislamu na ni lazima tufuate sheria za dini sio tufanye tunavyotaka. Allah atuongoze katika njia ya sawa.

ashamussa
Автор

Jamani mwenze mie sjui mshamba maana nikiifikiria kesho hadi machoz😢 alafu kunawengine wamesha ifanya dunia kama yakwao duh! mora anusuru vizazi vyetu

SIKUDHANISHIRINITZ
Автор

Yaan ukitaka kuoa, angalia family unakoenda kuoa

rajabumalupu
Автор

Ukisikia mambo kama haya kwa mwenzako usimlaumu bali nikuwaombea kwa mungu ili afungue njia ili waweze kumjuwa mungu na siyo kuthamini kichura la mungu atusaidie sana teachable za giza

JaneMakemo
Автор

mungu atufanyie wepesi maana dunia ishafika mwisho tuombe atujalie vizazi vyema😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

FaidhaMubaraka
Автор

Duh mtihani mkubwa sana inshaAllah mwenyeezi mungu awaongoze nyie na sisi pia tupate mwisho mwema sio yakufurahikia kabisa ni uzima wa muda mfupi TU tunadanganyika na Dunia

AchaUsumbufu
Автор

Mungu nakuomba uniepushe na upuuz huu mtu yuko pouh kabisa kujiongelea pumba

sunaybrajabu
Автор

Inna lilah wainna ilayh rajiuun ndomana tunaambiwa kabla yandowa tumuombe sana Allah atupe mume mwema na mkemwema jatuowe wenye din yani wenye hofu ya Allah ila awa nimsiba hata hofu ya Allah awana

NoorAli-gkbj
Автор

subhana lllah dah . Kaka muache utapata mke mwenye kheri na ww. Hiyo familia ni laana

JazilaKhatibu
Автор

Kaka umeoa familiar ya malaya tatizo sio chura bali malezi achana nae utakuja kuua bure genge bonus hilo

LameckLameck-vr
Автор

Tunakoelekea siko, Mungu awasaidie t waja wake

KelvinSimon-dy
Автор

Mmmh! Subhanallah! Astaghfirullah! Mwenyezi Mungu atusimamie kwa hili! Wanafikiri ni sifa njema, kumbe ni ujinga mtupu!

YasminaMkali
Автор

Duh, Allah awajaalie familia yenu wote awatoe kwenye shimo la moto inshaallah

SalianaMasongwelo
Автор

Wewe Dada Kuna wengine tunahitaji ndoa hatupati alafu mdogo wako amebahatika Leo unataka hyo ndoa ivunjike kisa hivo vigoma subhannallaah Allah awafanyie wepesi mtoke huko mlipo

HusnaaAbdul-rahmaan-luuj
Автор

Mungu akujaalie mwisho mwema yarab twaomba shufaa yako

RehemaHamad-rmqt
Автор

😢😢jamani kijana aliingia penye hapayingiliki kabisa Pole kaka jikaze utumie busala ukonabwo mungu yupo anakuona kwakweri utapata mwingine Sheria yandowa hairuhusu mwanamuke kwenda katika Kazi hizo anazifanya we potezea mbali huyo Maman ucukue watoto muyishi Hakuna lingine mungu yupo

MubangoEmile-yqxm
Автор

Ya Alalah tusamehe sisi tunaokuomba msamaha nakutubu katika yale tuliokukosea

HarunaFursana
Автор

Sijapenda sana, , kwamba mutu mwenyewe boda boda, , 😮😮😮😮😮

MethodkifokaMethodkifoka
Автор

Kwafano wee unge mshauri nin kwamaongez tuuu yako 😢😢 allah atupe mwisho mwema aibu tuuu

LaaajoAlhamdilillah
Автор

Family makahaba burenigali hao mangurue hao umeingiya njiya mabaya kaka towa talaka kuminambili .

faraj