UTAPENDA VAZI NA VIBE LA RAISI MAMA SAMIA KWENYE HII HARUSI.

preview_player
Показать описание
Subscribe/ Share/ Like & Comment:

For Booking:

Call: +255 714 637 457

Join me for conversation!

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mashallah Masamia uko fit kabisa insh Allah kula la kheri love frm Kenya❤❤❤

zysxxmt
Автор

Nakupenda Mama. Allah akujaze mapenzi na busara zaidi

tonniocharo
Автор

Kutoka moyoni mwangu kusema kwelime nampendaga sana tena sana Mama Samia jamanii Mama Love uuuu❤mchapa kazi jembe letuu

ndennkya
Автор

Kwa sbb anajuwa kuvaa na nimzuri nature! Lazima apendeze tu!

saidmohd
Автор

Najuaga kukupenda tu rais wangu♥️♥️♥️ishi mama hakuna mkamilif unapambana👌

agneskapwani
Автор

For really mi nampenda sana huyu mama Allah amjaze Afya. I never seen the president like this woman interms of relationship with people. All in all designer wake anajua

ashraff_tz
Автор

Rais wangu mbona umependeza sana.Safi sana ❤❤❤👍👍

aminaomary
Автор

Mungu azidi kumlinda mama yetu, jamani kapendezaaa😍na uzuri unachangia🥰
Kwa uzuri Mungu kamtunuku, na roho ya upendo kampatia..
Tunajivunia wanawake wa Tanzania, tunawezaaaa❤❤

dorahmushi-wets
Автор

Nampa hongera mama samia unajuwa kuongoza nchi yako mama pongezi zngu kwako n hkuombea dua ucku n mchna❤❤natamani nngelizaliwa tanzania 😢

aishaomar
Автор

Heko kwa kila mama kweli kweli, Proud of her with much love from Kenya

mohamedhussein-qbsg
Автор

May God bless our Tanzanian Madam President Samia🙏. One of the best not only a leader but also a patriotic Queen us Tanzanians could ever witness.

simonlyimo
Автор

My sister president ❣️Samia❣️ I love you ❣️ in i love Tanzania too
Ramadan 💚Mubarak💚 inshallah

sitazonou
Автор

Mama Yuko poa sana jamani Mashallah Allah ambarik😊😊❤❤

chikuliundi
Автор

I love tanzania, love from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤

thebodyguard
Автор

Am proud of you mama, apart from kupendeza sana. Lov u

Grattitude
Автор

Masha'Allah TabarakaAllah pendeza madame President

stonetown
Автор

Jamani nàmpenda Mimi mama samiah mungu ampe maisha marefu

ziadaissa
Автор

Mama amependeza sana wenye wivu wamuone hivihiv ❤

sophiamasawe
Автор

Proud of you mama
Looking very pretty

HawaAhmed-byox
Автор

Mashaallah mashaallah tabarakallahu may bless Allah our president protect you shari yote 🙏🏽🙏🏽Allahu ma thuma amini 🙏🏽🙏🏽

megvtmh