Kampuni ya Mtanzania, Benjamin Fernandes, NALA yakusanya TZS Bilioni 106 za uwekezaji/mtaji

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Maa shaa Allah Kijana kapambana sana Allah azidi kumfungulia Rizki yake ili azidi kua Asbaab ya wengine kupata Rizki inshaa Allah.

faridhamad
Автор

Ongera zake kijana anapambana sana Mungu akuongoze

marrypius
Автор

At the same Time anatangaza Nchi Yetu Kwa ukubwa Sana.
Proud of You as Tanzanian.

shaban
Автор

Pongezi nyingii kwako mjasiliamari Mtz mwenzangu kwa mapito ya kampuni yako. Waliouchukulia duni mwanzo wako taarifa hii ni adhabu tosha na fundisho kwa wengineo, bila kusahau hii ni motisha kwetu tunaojitafuta tukingali na mwanzo hafifu Sana.

kakawamashariki
Автор

Hongera sana kwake jamaa anatuwakilisha vyema sana nje ya nchi

SwahiliAmbasador
Автор

Ni company nzuri sana kabisa, hata sisi tuliopo hapa ulaya tunaitumia

patrickmulonda
Автор

Tanzania imejaa watu wenyeh taaluma na techilogia ya juu 😊

andrewemmanuel
Автор

Amani ya nchi ndio msingi wa maendeleo ya Kila Mmoja bila amani hakuna maendeleo respect🔥🔥🔥🙌🙌🙌

mtulivu-irnq
Автор

Hongereeni sana kwa hatua mliofikia, haikuwa rahisis

jengainavyotakiwa
Автор

Niliwaona mbali sana NALA, kutokana na technologia yao isio ya mitandao ya sim. Lakini nikawa na shaka juu ya Fernandes kufadhili mambo ya ukiukwaji wa misingi ya kuishi kiuumbwaji, hilo bado naliangalia kwa jicho pana sana. Lakini hiyo kampuni ni safi na nia ya muanzilishi ni njema, katika maelezo yake.

Ni moja kati ya watu naowafatlia sana, na ninaona wana kitu cha kuinufaisha nchi yetu.

ramamabinda
Автор

Hiyuu jamaa baada ya miaka kadhaa ni bilionea ajayee

zakayodismas
Автор

Maa sha Allah Nala has good rates 👌🏼😍😍

aminaali
Автор

Huyu jamaa alitakiwa awe pale TRA awatengenezee mfumo mzuri wa kukusanya kodi na hatimaye kodi ipungue ili kila mtu aweze kulipa kirahisi na kampuni yake hiyohiyo ya NALA lakini utasikia tuna watalaamu wetu

mndambokilavo
Автор

Huyu kijana Nakuona Niaka ijayo Atakuja kuwa Tajiri no 1 Tanzania Benjamin ni hatari

damsonwilson
Автор

Mbona nala haipo Israel 🇮🇱? Tuna pasta shida kutuma pesa

johnmessi
Автор

Ila mtambue kampuni si ya Tanzania kwasababu ya kutokuwa na maono, bali tunajua rushwa tuu

Fgldesigns
Автор

Mtoto wa Mchungaji Ferdinandez huyo wa ATN aisee, kumbe NALA ni ya kwake!? natumia NALA sana kutuma pesa Tz kwa familia kutoka huku Scotland

bushbabytz
Автор

Mimi nipo Germany 🇩🇪 natumia nala kutuma pesa nyumbani ipo fasta mno nikajua mmiliki wake ni m nigeria 🇳🇬 kumbe mtanzania? Na ndomana hua wananitumia text wananiekea na maneno ya kiswahili

bintqassimidarous
Автор

Jiulize kwa nn wengi wakianza kifanikiwa wanahamia nje, .?

BongoPlatformTv
Автор

Huyu anae andika title ni nan😂😂😂😂 uwezekaji

dareplatform