LIVE: Mtanzania'Benjamin Fernandes' Aliwahi Kufanya kazi na 'Bill Gates'/Kwenye On Point Anatusanua

preview_player
Показать описание
#CloudsDigital ipo mubashara kutoka studio ya Clouds Fm kwenye kipindi cha #OnPoint na John Jackson
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Tunamshukuru Mungu sana nimejifunza vitu Vingi sana kwako Mtumishi wa Mungu kwanza kijiamini kuwa naweza nakupitia mitandao imenisaidia sana hakika nitapiga hatua kubwa na kufikia malengo yangu ya kufungua kampuni ya Tourz naamini nitafika congratulations hakika unastahili kupata tuzo stay in blessing always.

furbenj
Автор

Uyo jama nina hamu ya kumuuliza maswali mengi sana ili nijuwe mengi

abdoulsenga