Mtanzania aliyekataa mshahara wa Tsh. Milioni 425 Marekani arejea nyumbani

preview_player
Показать описание
Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye ameingia kwenye headlines katika mitandao mbalimbali baada ya kuhitimu Masters kwenye Chuo Kikuu cha Biashara kinachotajwa kuwa Namba moja Duniani, Stanford, Marekani.
Benjamin anayo hii story nyingine baada ya kukataa ofa za kufanya kazi kwenye makampuni makubwa ambayo yalikuwa tayari kumlipa hadi Tsh. 425m kwa mwaka kama angekubali kufanya kazi akiwa Marekani.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Benjamin mzalendo wakweli
gonga like Kama kweli umamkubali Benjamin kuwa mzalendo wa nchi yetuu

benedictmwaluko
Автор

Aisee...hii interview ilikuwa top notch. Mmefanya vizuri sana kum-highlight Benjamin. Ataenda mbali sana. Kudos!

Mrero
Автор

hongera sana Benjamin Fernandes, kwa upande wangu nimejifunza vitu vizuri sana, na umeinua sana kitu kikubwa sana ndani yangu.. ninayo maono, kupitia ulichokisema Nimefanikiwa.

pastordaudhamad
Автор

Daaah kumbe mchungaji ana mtoto mkubwa hivi mungu barikii yy na kanisa lake ambalo liko mbezi jogoo agape gonga likeee kama huna wajuwa wazazi wa benjamin

godfreymdahila
Автор

Mwanzoni niliposikia umekata hizo offer niliona umakosea but nilipokusikiliza nimekuelewa sana Kaka.
Big Up!!!

godblessemanuel
Автор

Hongera sana Benjamini.

Noted.
1.Kufanya kile ninachokipenda.

2.Kuweka malengo.

3.Kufanya kazi kwa bidii.

4.Kuanza na kuheshimu mwanzo mdogo.

shadrackvallence
Автор

Benjamin Nakupenda Mungu akubariki watanzania igeni Tabia hii k

jacquilinemahumbi
Автор

hongera sana Asante kwa kazi nzuri unayoifanya, wewe Ni Mtanzania wa aina yake, barikiwa

emilydavidmdoe
Автор

nimepata kitu. hongera sana kaka benja. ipo siku tutakutana mzarendo mwenzangu na kuifikisha mbali nchi yetu

makapaabdallah
Автор

Nice is true tumeona moyo wako na jinsi unampenda Mungu safi sana tumeona matokeo na bidii perfect

furbenj
Автор

exactly hawa ndio wanaojielewa huku katika universe congrats Benjamin Fernandes

abdullykadirdhulfiqaar
Автор

Maslahi ya nchi kwanza kwa hilo nakupongeza Bwana Fernandes 👏👏👏👏👏👏👏

bernadyahimba
Автор

huyu jamaa anaakili ndefu sana, kwakweli huna majivuno unajitambua sana nimekuelewa sana kaka, thank u much

EREVUKATV
Автор

Nimejifunza kumsikiliza Roho Mtakatifu wa Bwana maana mama ni mchungaji na baba pia. Uenda kuna maono waliyaona juu ya kijana wao. Hongera sana. Alafu na Ben ana hofu ya Mungu, hongera sana

flaviousbenedict
Автор

Safi sana Ben,
ushauri wangu kwako kuhusu hayo makampuni ya nje waambie kama wanataka kufanya kazi na wewe waje wafungue buashara/ branches hapa Tanzania halafu wewe uyasimamie huku ukiinufaisha nchi yako kiuchumi na pia kutoa fursa kwa Watanzania wenzako kupitia makampuni hayo.
Ubarikiwe sana, Pia Mshike sana Yesu Kristo.

petereliyamagola
Автор

Nimekupenda. Nakuelewa na utafanya mambo makubwa sana. tena ukiwa kwenye Uhuru kamili. big up

NATUROPATHICTZ
Автор

Hongera Sana Kaka Benjamin, ni vijana wachache Sana wenye moyo kama wako. Umekuwa mfano wa kuigwa na nimejifunza mengi kupitia uamuzi wako. Tunakuombea na Mungu azidi kukubariki wewe na kizazi chako. Wabarikiwe wazazi wako pia. Mungu ubariki Tanzania, Mungu ubariki Africa.

subirajohn
Автор

Fernandes umeni inspire kuwa strong kwa kile nnachofanya sa hii I'm so proudly kuona Tz tunabaadhi ya Vijana wanaupeo mkubwa kias hiko ..settle Tz coz we ni Asset kubwa ktk Nchi hii Thank you

silaonesmo
Автор

ongera sana benja umenijenga kuakili jah bless u brother

ibrahimoswald
Автор

Mungu akubariki sana Benjamin, Mungu anataka uwe sababu ya mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini, hasa kwa vijana.safi sana.

neemamsafiri