Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy (Official Audio)

preview_player
Показать описание
Subscribe: @africanboyJUX

Tanzanian music sensations Juma Jux and @dplatnumz release their highly anticipated song "Enjoy", which celebrates life and its pleasures. The song's message touches on the burden of constantly searching for the right partner, which often leads to pain and disappointment. As a result, the protagonist decides to take a break from relationships and focus on enjoying life because it is too short.

The song was produced by S2Kizzy.

© 2023 AFRICAN BOY REC

Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy Lyrics

Verse: Jux
Hii leo
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
Na leo
Tena wahiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
Unaemwita your baby
Kumbe nae ana baby
Ooh unaemwona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
Na mi stress siwezi
Ooooh siwezi
Aahh

Chorus:
Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Verse: Diamond Platnumz
Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho
(Yanini niteseke rohoo)
Jiunge nami upoze koo
(Jiunge na mimi ah)
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Aaahh iyeeeeiiii ye)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)

Bridge:
Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjo
Huku natema kiingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za za za za za

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)

#Jux #DiamondPlatnumz #Enjoy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jux African boy never disappoint nipeni like hata 10 tu

saidbakari
Автор

Kenya tunawakilisha, , , number one on trending, , , nipeeni likes waugwana

samuelmunyu
Автор

Diamond never dissapoints, who is with me??😊 ❤❤

BeatriceNgige-kttd
Автор

Those who keep listening to this song more than 3 times a day, Don't leave without a like, love the song aky❤

SharonCherono-mwmv
Автор

Tanzania Uganda Kenya somalia Drc Congo Burundi Zambia Malawi 🔥🔥🔥🔥🔥💯💎 Hii imeendaa

manenomassaka
Автор

Hii imeenda East Africa nzima believe me this is banger🍾🎶 account inasoma na kwamwili kananona wemwenywe siunaona😁😁

omarhamisi-nf
Автор

A Nigerian here... 🇳🇬🇳🇬🇳🇬
I am feeling this song. .. Lovely

jinxtacks
Автор

Africa Haiti is with you I'm listening from Haiti i do love you African brothers and sisters

renoldjules
Автор

Wata nzania wote mikonoju nawakubari kutoka Rwanda 🇷🇼 ♥️ ❤️

pawasacomedy
Автор

tim mambo ni simba hajawahi angusha mtu lemme say bigg up.... if you like them just kiss my comment❤❤❤❤

MagrethSprian
Автор

Kama umeona ngoma kali naomba like yako hapa

masuala
Автор

Diamond verse killed it 🔥 who else feels the same😂

maskofiipitaofficial
Автор

From Soweto South Africa with ❤ Hit. Gogo/ grandma from Soweto South Africa 🇿🇦. Registered

maureengarrine
Автор

Once this two BOYS come together... quality product is seen in music market. Si mnipe like jameni 🚶🐆😎

VALIDB
Автор

Whatever Simba touches becomes gold, proudly wasafi

dasavision
Автор

Jux na mondi inafaa sasa mje na album becoz kila combo yenu ni 🔥

KevooTz.
Автор

Am from Nigeria 🇳🇬, but thus beat is real Tight, well done guys, great stuff

uchennageorge
Автор

East Africa music, tz wako level tofouti.

robertcheruiyot
Автор

Support from 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 Zambia my neighbor brother let's gather here my favorite country

EuniceMumba-tqtj
Автор

I Agree Tanzania is where good music lives🙌🙌

WycliffeKazigon