Jux Ft Diamond Platnumz - Enjoy (Official Video)

preview_player
Показать описание
Subscribe: @africanboyJUX

Tanzanian music sensations Juma Jux and @dplatnumz release the visuals for their highly anticipated song "Enjoy", which celebrates life and its pleasures. The song's message touches on the burden of constantly searching for the right partner, which often leads to pain and disappointment. As a result, the protagonist decides to take a break from relationships and focus on enjoying life because it is too short.

Video Directed By: @fole_x
Story: @swaggdaddyyoungray
Stylist: @noelgiotz

The song was produced by S2Kizzy.

© 2023 AFRICAN BOY REC

Lyrics
Verse: Jux
Hii leo
Acha tu niwaweke wazi
Mubaki na mishangao
Kuhusu haya mapenzi
Nataka kuyaeleza
Na leo
Tena wahiteni paparazi
Warushe kwa mitandao
Siyataki mapenzi
Nataka jipongeza
Unaemwita your baby
Kumbe nae ana baby
Ooh unaemwona kipenzi
Ni mshenzi hakupendi
Ama kweli mtihani
Mambo mengi duniani
Na mi stress siwezi
Ooooh siwezi
Aahh

Chorus:
Bora ni Enjoy (Mmmmmh)
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho
Jiunge nami upoze koo
Bora ni Enjoy
Maisha mafupi ni simple
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Mmmh khoo khoo khoo khoo)

Verse: Diamond Platnumz
Kama kupendaaa
Bora nimpende mama yangu (Mmmh)
Kama kupendwaa mimi iih
Nitajipenda peke yangu (Ooooh)
Kilichoniponza ufala
Kujiona simba kumbe swala
Nikazama kwenye penzi uchwala
Badala ya kusaka miamala
Aiii yooooooo oh
Toka ni date pesa (Enhee)
Sa napendeza (Enhee)
Na tena naenjoy (Enhee)
Na wanangu ma homeboy (Enhee)
Ooooh account inasoma (Enhee)
Na kamwili kananona (Enhee)
We mwenyewe si unaona yani (Enhee)
Ai nasema boraaaa

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho
(Yanini niteseke rohoo)
Jiunge nami upoze koo
(Jiunge na mimi ah)
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Aaahh iyeeeeiiii ye)
Jiunge nami upoze koo (Jiunge na mimi ah)

Bridge:
Napenda nikilewa
Nipande juu ya meza
Minjonjo
Huku natema kiingereza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Za za za za za

Chorus:
Bora ni Enjoy (Piri pi pi pi pi pi pi)
Maisha mafupi ni simple (Kirii ka dakitka)
Yanini niteseke roho (Ooh yanini yanini)
Jiunge nami upoze koo (Ooh khoo khoo khoo khoo)

#Jux #DiamondPlatnumz #Enjoy
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kenyans 🇰🇪 Ugandans 🇺🇬 Rwandans 🇷🇼 Tanzanians 🇹🇿 Burundians 🇧🇮 Somalians 🇸🇴 DRC Congo 🇨🇩 Nigerians 🇳🇬 South Africans🇿🇦Ethiopians🇪🇹 Namibians🇳🇦, South Sudanese 🇸🇸, Malawians🇱🇾, Mozambique🇲🇿, Zimbabwe 🇿🇼, Guìnea🇬🇳 let's gather here for our one and only African Simba 🦁and Badman Juma Jux💯

Royspark_Reiz
Автор

if you are proud to be African, you believe Africans have talents, you support good music and you believe this song will hit every country in the world, then don't leave without a like.

dogobk
Автор

Hii ngoma is made in kenya by force 🇰🇪

solliesollie
Автор

Kama leo unahisi kamwili kananona gonga like mapenzi jipe mwenyewe kwanza.🎉

phillioslemi
Автор

Hi, I am a Palestinian and I want to thank you, people of Africa for standing with us. Together we are brothers and sisters against tyranny and injustice

IBCStructures-clzh
Автор

Wangapi wamefika baada ya kufikisha 90M ndani ya 11 months only? Leo Sunday 04/08/2024❤

jisywib
Автор

Any Kenyans here let's gather here and support diamond let's enjoy together life is too short ❤❤🎉🎉🎉

ecowcxc
Автор

Tanzanians you just have no idea how we Kenyans love you.

davidwanyiri
Автор

My Kenya people let gather here we enjoy together🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤

msflorian
Автор

Rwandans, nous aimions c'est la chancon, kama unakubali wafrican tuna wasaani hujua kuimba sana, gonga like hapa.

NdayisabaValens-ghkb
Автор

Toka niwe big fan wa Diamond Sijawah pata hata likes 100 it's so.sad 😓😓

jonster
Автор

NIGERIA 🇳🇬 gather here let’s APPRECIATE JUX & DIAMOND PLATNUMZ TALENTS 💜💜💜💜

DJSPARKVEVOs
Автор

Tuko July.. WaNgapi wanasikiza wimbo huu wanipe likes

monicaotieno
Автор

Pagen ayizyen la ki renmen mizik sa menmjan avèm ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

CadafiMarrero
Автор

NINAKILA SABABU YA KUJIVUNIA KUA MWAFRIKA❤❤❤ much love and lets enjoy our selves guys❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥

hassansela
Автор

I frm India 🇮🇳
But i like Tanzania music❤ Southafrica

mrklgassam
Автор

Zambians have approved the

Filifye Simple

nxodswh
Автор

Wekeni like hapa kama Nyiyi ni team Platnumz ❤❤❤❤

aboyofyesterdaymd
Автор

I don’t understand the language but this song makes me cry, I feel like I’m with my ancestors. Much love from Haiti🇭🇹🇭🇹

ematejeanphilippe
Автор

December 2024 jux will post celebrating this song having 100 Million views

MrCommercial