Jux - Nisiulizwe (Official Audio) [Visualizer]

preview_player
Показать описание
Unveiling the "NISIULIZWE" Visualizer by Jux

Immerse yourself in a visual masterpiece directed by Xniper Cg, complementing the soulful melody of Jux's latest track. 🌟 The Kompa Sound, crafted by S2Kizzy, harmonizes seamlessly with the emotive vocals. 🎶🎬 Executive Producer SwaggDaddyRay ensures a perfect blend of talent. Experience the magic now!

© 2024 AFRICAN BOY REC

Jux - Nisiulizwe Lyrics

Yo yo, you’re so fine
Babe (Hey)
I do this for you
Aah ah, Mmmh

Verse:
Nahisi, Niko kwenye njozi
Huba limenikolea, Kuamka sitamani (Yee)
Tena nakusihi, Ulilinde penzi
Mwenzako nimenogewa, Hoi tahabani (Hoi tahabani)
Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu
Wangu daktari
Kukupenda, Ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, Nipe taratibu
Huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe no no!

Chorus:
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Sababu I Love You
Eeeh
I Love You
Mmmh

Verse:
Naanzaje kukucheat, nakifata kipi ?
Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
Tena umewaacha mbale, Ulipo we hawafikii
Maombi yangu toka kale, Nimepata rafiki (Mmmh)
Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu
Wangu daktari
Kukupenda, Ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, Nipe taratibu
Huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe no no!

Chorus:
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Sababu I Love You
Eeeh
I Love You

#Jux #Nisiulizwe #King
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

MWAMBIE MWANZAKO NIKO HAPA NASOMA COMMENTS!

Tell your friend I'm here, reading comments! ☺️🤔❤️🌹

africanboyJUX
Автор

Jux your song "As long as you know" consoled me during my divorce, Today I'm again here listening to this song nisiulizwe. Shout out to anyone going through break up, Down moments. You'll be alright, And my prayer this 2024 is that may you find or sustain love, Heal from the past trauma, Be healthy, Raise children, Pay bills on time, Get closer to God and find time to enjoy life while you have it...🙏 ❣️🇰🇪

evansodongo
Автор

Huu wimbo already uko kwa trending list kama unakubali gonga like hapa❤

Lizzygold
Автор

Nani amesikiliza mara nyingi kama mm like hapa

wanzokiwanene
Автор

jaman tangu nimeanza Kusapoti mziki sijapat likes hata 10 daah!!
😌😌

ogcfrwr
Автор

Eeeeish wenye tumesikiza mara kama tano lets gather here hii ngoma ni 🔥

Amazin
Автор

Kama na wewe unasikiliza huu wimbo kila siku kama mimi gonga like hapa

francispaul
Автор

nani amesikiliza mara nyingi kama mimi😂

franciswilfred
Автор

Jux sisi ndo tunapenda kukusikia kwenye nyimbo kama hizi ..tunakuomba usipige amapiano kaka angu tuletee haina kama hii dani fire❤

bestnationbadvoice
Автор

Mimi ni fan mkubwa wa hii nyimbo...piga like hapo tufurahie

emmanuelchebutuk
Автор

Nyimbo nzuri sana kama unamkubali mwamba jux like ziwe nyingi🔥🔥🔥

MarySamwel-wxnn
Автор

Wakenya wekeni tick kwenye huu wimbo❤❤

giftmwikali
Автор

African boy Jux 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼 always proud of you wimbo mkali sana 💪🏻😎 nazitaka 10 like zangu

RichMavoko-nxcn
Автор

Jamani when l listen to this song my whole body is feeled with goosebumps ❤️😩l know one day l will fall in love with the right person much love from Kenya jux ❤️🇰🇪

hopewambui
Автор

Swahili Konpa is the sweetest 🇹🇿❤️🇭🇹❤️🔥🔥🔥🔥🔥

hmiwood
Автор

Hiki ndo kitu ndo nlkuw nasubr ulitupoteza mda flan wa amapiano....jux 🔥

malimajuma
Автор

On behalf of all Kenyans, I approve this as a hit song

SOS_VILLA
Автор

hii ngoma ni kali @jux uyu ni fun wako toka kenya +254🇰🇪🇰🇪

nigdxke
Автор

Daah jux mke wangu anaipenda hii nyimbo yako sana❤

humphreywamburatv
Автор

Huuyu ndo jux tunaemjua sio wa kwenye amapiano ❤

ofijovg