VVC Tanzania Ft Zoravo - Kwa Neema (Official Video)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ni kwa neema yake kweli...nakumbuka kipindi fulani nilipita kutengwa na wakwe nilisimama na mume wangu tu niliomba sana nilipitia shida kutopata mtoto baadae Mungu akanihurumia nikapata walichukia sana na baadae wakagombana wao kwa wao na kusema waliniloga sana ila sikuumwa wala kufa nlishangaa sana maana mpk sumu nlipewa bila kujua lakini sikufa kumbe NEEMA YAKE ILINIBEBA MAANA NLISTAHILI KUTOKUWEPO HAPA UWIII HUU WIMBO UMENIKUMBUSA JINSI MUNGU ANAVOTOA NEEMA.🙏🏾🙌🙌🙌🙌

sara-osdn
Автор

Likes za mwandishi wa wimbo jamani ❤️‍🔥❤️❤️🥰🥰🎉🎉

vicentpatrick
Автор

This song is talking reality..safari ya wokovu ina mengi, lakini hatuuangamii❤
Tunngewezaje, Tunngefanyaje, kama c Neema yake

aminashilla
Автор

Huu ni wimbo na nusu❤❤🎉🎉tulipoianza safari, tulikuwa kama waotao kwamba BWANA ametufanyia njia😭❤❤, , hapa ni patamu mpaka nakosa la kusema❤!! Barikiweni sana VVC🎉🎉

Regnard
Автор

Wasouth kaeni sawa Tz inakuja kwakasi kwenye live Miusc... Mungu anatukuzwa kwaviwango... Hongeren VVC

fadhilidanieli
Автор

Brother @Oscar Justine Keys Moja kati ya MD wanao fanya vizuri sana broo ww ni Next Level 🔥🔥 KWA UTUKUFU WA MUNGU Nakuona South Africa 👑

elishacharlesjr
Автор

Huyu zoravo anakuwaga moto sanaa ❤❤🔥🔥🔥🔥..napenda vibe lakee 🔥🔥🔥🥰🥰🥰🥰

nickluca
Автор

hii nyimbo ntaingia nayo kwa engagment yangu mwakan kwa jina la YESU

dorcastesha
Автор

Chitete, kaniki Benjamin na gashion kazi safi Sana 🔥👌 huku Kenya 🇰🇪 Moore love

kipkiruigillie
Автор

Ni Kwa neema tu, ,much love you really bless me natamani siku Moja niwameet am from Kenya

ChristineSyombua-dl
Автор

Nilikuwa nawasubiria kwa hamuuuu nyie 🎉🎉❤

isayamelamiofficial
Автор

I love the confidence in a female soloist❤❤🎉🎉🎉 singing deep from her soul❤❤

Regnard
Автор

Kwi Ipyana lyake Jesu....Kyala Jehovah Mololo fijo..

foundationforcommunityhope
Автор

Kwanza tuanze na Zoravo. He has this taste that is really really amazing.
Alafu huyo leader wow! She did justice to this song. Especially hiyo sauti aliyoingiza Dk ya 8:03 it was EXTREMELY BEAUTIFUL
God bless you VVCT… watching from the states!
I prayed and spoke in tongues while listening to this song…. God’s grace has kept me 😢😢😢 hatukustahili kabisaaa. 🥹😩🙏

berthayindi
Автор

Kyi ipyana lyake tukabhagile nkofika leleno kyi ipyana lyake 🔥🔥 ila kinyakyusa kiwe tu lugha ya TAIFA kwa gosiple songs Mana ata usipoelewa unajikuta tu umezama uweponi 🙌🙌🙌 ndaga fijo kalombo zoravo 🙏🙏

leahlazaro
Автор

Hakika ni kwa neema ya Bwana, hata mimi sikustahili🙏

fridamsofe
Автор

Waaaaoooo!!! Glory to God
Mbarikiwe sana

martinetimotheoofficial
Автор

Mda wote natamani niendeleeee kusikiza huu wimbo huu Bila Neema ya MUNGU 😭😭😭

nakalisibaraka
Автор

Mungu azidi kuwapigania mfike mbali zaidi

gellshamsimon
Автор

Dancing style more fireeee 🔥🇰🇪 Moore love

kipkiruigillie