Johny Kavishe ft. Zoravo - Baba Ni Maombi Yangu (Official Live Video)

preview_player
Показать описание
A PRAYER SONG OF ALL THE TIME.
Heavenly Sound
............................................................................

Appreciations

Audio Mixing & Mastering: Gardon Tamsanqa Bimha (Naletha Media)
video: Amigo Johnson
Lights: Visual matterz
MD: Jona Shemsanga
1s aux: Kepha
2nd aux: James
bassist: Benja
lead Guitor: Hagai
Drummer: Erasto
Audio capturing: Micho
Branding: SP
BVGs UNCHAINED
Event program UNCHAINED GLOBAL
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Who is here 2025, hallelujah yangu iwe ya kwanza😢

denaeddie
Автор

Mbingu zikijawa watoto wenye utiiifu mbele zako basi wa kwangu wawe wa kwanza 💕MUNGU asante kwa watoto wangu.

yonaMimi-dx
Автор

As a kenyan am requesting for a collabo between Zarova, Johny and our very own Sarah k.any body who likes my idea lets start liking.

tadianaayuma
Автор

Ni maombi yangu unikumbuke nipone from cancer completely

FaithOdhiambo-jfvp
Автор

Moto Moto umewaka Tanzania tuna meema KUBWA sana wanazaliwa wateule wapiy wenye Nguvu za Roho mtakatifu mpaka Dunia itafata injir ilioko Tanzania 🔥🔥🔥🔥

SaimoniYohana-mo
Автор

Mungu ponya baba yangu, , , Mimi na bibi yangu tunaomba mtoto kutoka kwako

muokinzomo
Автор

Wee ni Dua unikumbuke hizo mbingu zikijawa sifa Haleluya iwe ya kwanza🙏🏻🙏🏻👌❤️

pinamshana
Автор

Baba ni maombi yangu unikumbuke katika kazi yangu katika biashara yangu na familia yangu

red-jts
Автор

Mbingu zikijawa sifa, yangu iwe ya kwanza😭😭😭😭can't wait to sing this on 1st Dec, 2023 on my graduation. Thanks Jesus

lynnfavor
Автор

I lost my job yesterday. Today am back to work🎉❤
Amen our God is good

Bran
Автор

Back in October 2023. I and my friend were pregnant. Masiku zilikua zimefika and you the anxiety of a first time moms, every day we could sing and dedicate this song to each other. Telling God to remember us, sifa zetu ziwe za kwanza, sifa za kuitwa mama. And God did it. We both had safe delivery.
Mbingu zimejawa sifa na zetu ndizo za kwanza.

joydoreen
Автор

Baba ni maombi yangu unikumbuke 19th and 20th May 2025 niko two very important interviews… Let my hallelujah be the first one ( 15th March 2025 today)

rosslyn
Автор

This is my prayer Lord remember me this 2024 change my name from shameless to favored one 😢

loyceyahya
Автор

Sarah K thank you for introducing us to great worship songs ❤❤

carolinenjoroge
Автор

My school mate John kavishe Enzi hizo Arusha day ulikuwa ukituongoza nyimbo za sifa, Mungu azidi kukuinua

neserianjoseph
Автор

Hallelujah 🙌🙌🙌🙏 yesu nkumbuke nkumbuke mbingu zikijaa sifa hallelujah yangu iwe ya qwanza

MdDayo-ul
Автор

Naomba mungu aniponye na nyumba ya mama yangu Kila mmoja apone, na nguvu za Giza zishindwe katika jina la yesu.

maryngele
Автор

Baba ni maombi yangu, unikumbuke, mbingu zikijawa sifa, Hallelujah, yangu iwe ya kwanza.

My 2025 prayer.

FionaImbali
Автор

Naupend sana huu wimbo, baba unikumbuke katika hili nalopitia we wajua YESU wangu ni maombi yangu 😭😭😭 na mwisho wa maisha yangu hallelujah yangu iwe ya kwanza❤

MomvinloveJoseph
Автор

Hallelujah yangu uwe ya kwanza❤🙏, nani anasikiliza hii 2025 February

deboramarwa
join shbcf.ru