Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )

preview_player
Показать описание
Ufunuo wa Yohana 4:4
[4]Na viti ishirini na vinne vilikizunguka kile kiti cha enzi, na juu ya vile viti naliona wazee ishirini na wanne, wameketi, wamevikwa mavazi meupe; na juu ya vichwa vyao walikuwa na taji za dhahabu.

Zaburi 97:9
[9]Maana Wewe, BWANA, ndiwe Uliye juu,
Juu sana kuliko nchi yote;
Umetukuka sana juu ya miungu yote.

Nasisi Agape Gospel Band tunaungana nao wazee ishirini na wanne na wenye uhai wanne tukisema BWANA UMETUKUKA MILELE 🙌🏼🙌🏼

Credits:
Venue :Calvary Temple (Arusha)
Video Directed by : Amigo Johnson (Amijoji Company Ltd)
Audio Capturing :Sam Mboya
Sound Engineer: Mitchell Mike
Audio Mixing &Mastering : Baraka Ngowi (b_ngowi)
Backline :Maksudi
P.A : Tumaini Shangilieni Choir
Lights :Nyakalo Stage lights
Decor :Bervely Betwell

Connect with us Via:
Mobile :+255 710 087 353
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wa kwanza Toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 napenda sana agape music bad so 🎉🎉😂😂🎉😂 naomba like hapa zote za agape music 🎵🎵🎵

OFFICIALSEMAH
Автор

Agape band vile munafanya Mungu azidi kuwainua zaidi kama wewe ni mupenzi sebene gonga likes nyingi hapa

wilsonlevayoni
Автор

Instrumentalist walichezesha viombo until wakaanza kucheza. Agape band mnanimalizaaa 😅😅😅 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

roggersboke
Автор

Mungu ume tukuka milele wapi like za iyi band jamen sijawahu fikisha 50 likes mwenye ame barikiwa tubarikiwe sote nakupita na like apa please 😊💃🥳

PrincessOm
Автор

NA KENYA🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

UMETUKUKA MILELE🙌🙌🙌❤❤❤❤

neemajohnson
Автор

😂Mimi nami nilipo naskwenda hadi job wanadai nimechizi .hawajui rhythms inaponya stress.wapi like tukizonga 😅

cleanartke
Автор

Bamutu ba congo tuko hatukosei mtupee like za kutosha

maombijames
Автор

Best gospel band in east Africa ❤..🇰🇪 Mombasa tuned in

Israelyrn
Автор

Wa kwanza kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Like zangu nione
Nawapenda sana Agape band

landryinnocent
Автор

Finally 😂😂😂😂 nimengoja kama mvua ❤...like zangu jamaa

sebenmover
Автор

Zimbabweans lets gather done @Agapegospelband

mablegomwe
Автор

Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 is taking Gospel music to another levels....thanks much love from our people in Christ.

josephmakange
Автор

Nilisahau kucomment last time ...
LOVE FROM KENYA 🇰🇪 AND GULF...❤❤❤..
AMEN ...AMEJIBU MAOMBI NA KWAIVO JINA LAKE LITUKUZWE
Thanks for the 2 likes

carol_kimani
Автор

All Zambians who love Agape just like my comment!

timothyzulu
Автор

@agapegospelband, Mungu azid kuwainua na kuwapa ufunuo zaidi wa kipekee.This is what I call perfect music 🎉that touches the inner soul 😊.I just have to put it on repeat mode❤️.Hii seben ogopa 🔥💯ni hatari 🔥.Wapi vigelegele🎉🎉🎉🎉🎉🎉#wazee 24.Mungu bariki Agape Gospel Band 👏🏽❤.

emmanuelwesly
Автор

Wazee ishirini na ineee ! Namaserafi (Revelations 4:4)❤❤. This song is so sweet especially during drive time 😅. Big up Agape gospel band

DrKays
Автор

Baba vedu vekudenga zita renyu ngarikudzwe!! Where is my Zimbabwean family ???

rumbidzaimakazhu
Автор

Team strong piga likes tukisonga .Kenyans in gulf twende nalo tap tap screen 😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤

nasrioriginele
Автор

Maisha America damu Tanzanian . Tuko pamoja twende kwa yesu jina rake ritukuzwe. ❤

A
Автор

JAMANI MWENZENU MIMI SIO MKRISTO ILA SEBENE KAMA 🔥🔥🔥🔥

htx