VVC Tanzania - Nalifurahia (Live Video)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

MOG. Lince MUNGU akutunze sana you are such a blessing to the kingdom of God. 🎉🎉🔥🔥

vicentpatrick
Автор

Nimebarikiwa waimbaji wa TZ Mungu awabari kwa wimbaji wenu ameeen

MaureenMalusha
Автор

NYIEE Tanzania siami mm sioo kwa vitu hiz vzur rud nyumban kumenoga🔥🔥🔥🔥

eliyajohn
Автор

Mmebarikiwa Sana 🙌🙌🙌 endeleeni kunyenyekea

masebomusic
Автор

Heeee kipenzi changu umeanza kuharibika, naomba geuka haraka munguakusaidie sana

atupelemwakatima
Автор

Mungu awabariki sanaaa jamn, kazi yenu n njemaa

NeboSaulo
Автор

Mubarikiwe watumishi wa mungu kwa kazi nzuri 👏👏👏

AmosKomanya
Автор

Hii choir yapatikana wap nimewapenda bure

dorcusymawona
Автор

Tunaomba mtujibu msg..
Na video za arusha jamn mtuwekee acc iwe active wakati wote ni maoni yangu

BahatNyoni