WALIOINGIA ANGA ZA WAZIRI KIGWANGALLA, WAFIKISHWA KISUTU

preview_player
Показать описание
Watu sita wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiwemo Hassan Likwena maarufu kama NYONI wakikabiliwa na mashtaka manne ikiwamo la kukutwa na vipande 413 vya Meno ya Tembo na viwili ya Kiboko vikiwa na thamani ya Sh.Bilioni 4.

Hatua hiyo inakuja ikiwa ni siku chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Hamis Kigwangalla kutangaza kukamata vipande 413 vya Meno ya Tembo pamoja na NYONI ambaye alimtaja kama mtu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu na Serikali kutokana na kujihusisha na biashara haramu za nyara za Serikali.

Mbali ya Likwena (39) ambaye ni mkazi wa Kivule, wengine ni Bushiri Likwena mkazi wa kitunda, Oliver Mchuwa (35), Salama Mshamu (21), mkazi wa Chamanzi, Haidary Sharifu (44) pamoja na Joyce Thomas (33).
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi kilichowafanya wasijisalimishe ni nini jmn vijana wadogo hawa na wakati waziri alitangaz???jamani nyakati za MAGUMASHI ZIMEKWISHA SS WENYE MASIKIO NA WASIKIE

happymsaki
Автор

Hawa ndio hukesha mitandaoni kumtukana Rais na kushangilia ndege ikikamatwa

HASASON
Автор

Yan kama walikutana na wale jamaa wa maliasili daahhh kilichowapata sitaki hata kufikilia maana wale jamaa n nyokooo

amonmligo
Автор

Tutaona maigizo mengi sana musimu huu!!

linkreuben
Автор

Kuna Maisha baada ya Kufa, hivyo msijisahau jamani

topafricamusics
Автор

Sasa mbona sijafaham huyo baba mbona hawezi kutembea wamempiga au

zuweinaalhabsya
Автор

Nyie wabongo acheni aibu yaani mnashindwa kupata wheelchair ili iweze kumsaidia huyo jamaa...acheni ujinga nyie...

phillipmatola
Автор

Huyu si hilali akida huyu? Au macho yangu tuu ivi kafikwa na nini?

kitonikitoni
Автор

Hawa ndio hukesha mitandaoni kumtukana Rais na kushangilia ndege ikikamatwa

HASASON