filmov
tv
Jangili wa Meno ya Tembo atiwa mbaroni
Показать описание
Dk.Hamis Kigwangalla Waziri wa Maliasili na Utalii, amesema wamemkamata mtuhumiwa Hassan Shaban Likwema maarufu kama Hassan nyoni akiwa na vipande vya Meno ya Tembo 338 na meno mazima 75 yenye Kilo 652.65 ambapo ni sawa zaidi ya Tembo 117 yenye thamani ya zaidi ya Sh.Bil 4.