Harmonize feat Lady Jay Dee - Wife (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Harmonize - AfroEast

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762

#Harmonize #Wife #Kondegang
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kenyans🇰🇪 how will TZ🇹🇿 know we love this man more than them let's check out like za Kenya zikam❤️❤️❤️ ka unampenda KONDE BOY

kakumipaulmuia
Автор

wallahi huu wimbo wafaa kuwa na zaidi ya milioni 20.. huu wimbo ni utamu sanaaaa... kutoka moyoni hadi mishipani unaridhisha nafsi.. tumpeeni support tembo wetu... #jeshi #kondegang #teamkenya #001

alexnjagi
Автор

That's my artist huwa hauniangushi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌, , , big support from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

laurinelorianne
Автор

Huyu ndio tembo 🐘🐘 halisi hit af hit, wengine ni vijusi, Harmonize 🐘

halimaomar
Автор

"Tukipata tutakula, tukikosa tutalala,
Zimewashuka sura, walojichosha na makafara,

Mi maji mwenzangu chura, unanitisha Sina papara
Tuwanyoshe kama rula wakijitosa kutuvagara"


Lyrics za kwendaaaa yaaani
Jeshi ni balaa

elvistheawesome
Автор

Harmonize to the world🔥 wapi likes za wakenya jameni?

ebitaratara
Автор

Somalia girls, tunakupenda harmonize piga kazi konde gang forever

kautharsalat
Автор

Wapi love kwa KONDE from kenia🇰🇪
Weka like apo ukipita

erickkahindi
Автор

Harmonize never dissapoint love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💞❤❤❤

fideliahnjenga
Автор

Moto ule ule bado gusa unase harmonize ft lady jaydee ni fire 🔥🔥🔥

davidado
Автор

Another hit from harmonize konde gang 100% hit Niga!!!

benjaminnicholas
Автор

Pga kelele kwa konde boy na jay dee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

vedastusbundala
Автор

Any Kenyans here🇰🇪, acha tupongeze Harmonize kwa bidii yake.👏

Little_deno
Автор

Huo wimbo ni mtamu mtu akiwa anaolewa....ohh my God
Where is the husband that we can sing together?

sarahmunyiva
Автор

Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 likes but currently in Saudi Arabia🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 coz najua tuko wengi mnoooo

mkabilidorah
Автор

Hivi ndivyo tunawavesha barakoa ili wafunge midomo Konde boy for everybody

masala
Автор

Ngoma inafanya na Miss My own wedding na Bado sijafanya 🔥🔥. Gonga like ya KondeBoy ukimkubali #245

polycarpfletcher
Автор

jeshi ft commando bongee la hit flan hivi amaizing 🔥🔥🔥🔥

jeffmirror
Автор

Mm ni MTURUKANA na nimependa hii ngoma na hizo sauti naomba likes zangu

marknganga
Автор

After coronavirus this will be my wedding song 💕💕💕💕

collobore