Fix You: Sikiliza kwa makini, hivi ndio viashiria/dalili kuwa mpenzi wako anachepuka

preview_player
Показать описание
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hivi kwanini Watu wanaopendana sana huwa kuachana ni rahisi sana. Pole sana Mchungaji na mimi nimepitia maumivu yake ni makali mnooo!!!

jennytugara
Автор

HIYO KWENU, , , WANAUME TUNAJUANA...UKIMWITA HALAF HAJATOKEA BILA SABABU ZA MSINGI, , UYO SIO WAKO NI WENU.

hassanbakari