MAGOLI YOTE: SIMBA SC 2-1 KMC FC; (TPL - 19/12/2018)

preview_player
Показать описание
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi hiyo uliopigwa jioni ya leo kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam.

Simba walipata mabao yao mawili ndani ya dakika 14 za kwanza, wakitumia dakika mbili pekee, la kwanza likifungwa na Adam Salamba dakika ya 12 na la pili likifungwa na Said Ndemla dakika ya 14.

Simba ilitawala zaidi kipindi cha kwanza, huku KMC wakiingia kwa nguvu zaidi kipindi cha pili kwa mashambulizi mfululizo na kufanikiwa kupata bao la kufutia machozi dakika ya 68 kupitia kwa James Msuva.
Matokeo hayo yameifanya Simba kufikisha pointi 30 ikiendelea kusalia katika nafasi yake ya tatu, nyuma ya Azam FC wenye pointi 40 na Yanga wenye pointi 44.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

😊😊 Mpenja Popote Ulipo Kunywa Soda Nishalipa Respect My big Brother This is Simba 🔥🔥

muddydamdeok
Автор

naipenda sana simba sport club gonga like twende sawa na chama letu

salumabdallah
Автор

Jamani mi ni yanga dam ila haya magoli yote matatu ni kama unakubali acha like apaa

ebronmwambene
Автор

Ujue salamba na ndemula Ni bonge la wachezaji sema tuu kocha hajitambui na anaua vipaji vyaoo kama unaniunga mkono gonga like twende sawa

mellatourssafari
Автор

Nasikia Nkana baada ya mechi hii wamemuuliza Kessi hivi hawa Simba B kweli au simba nyingine tofauti na tuliyokutana Kitwe ndio anajaribu kuwaelewesha sijui watamwelewa 😁😁😁😂

lazarojr
Автор

😀😀😀😀 mpenja bna et ndemla mshut huo utaua kaka

marychallo
Автор

yaaani simba hadi raha waacheni hao nkana wajilete wataona moto Wa msimbazi

robert.maganya
Автор

safi sana kesho upande wa pili wana drooo

husseinseleman
Автор

wwe ndemla mshuti huo kama golie angethubutu kwenda huko angetesekaaa sana!! !aliyegundua kiporo na chai ya rangi mungu ambariki

reyjosee
Автор

Naiombea SIMBA ijipange kiufundi na kuwatakia washinde dhidi ya nkana, wajitume ili iwe faida kwa watanzania wote,

gaspersikapizye
Автор

mimi simtaki tena ndemla, atakuja kusababisa kifo uwanjani

amedeusmunishi
Автор

Amuuue Nani Atamuua Munishi Mazoezini Wao Si Watu Wamazoezi

omanmuscat
Автор

Ndemla alivyo funga kidogo nikimbie maana nilidhani golkipa kakatika mbavu

keyakeya
Автор

Mpenja kwautangazaji huwo chukua soda kwa mangi ntakuja lipa maana kwajisi simba inavyo cheza hupati tabu hata yakutangaza jumapili usikose

kacherosimba
Автор

kms walifikili kuwanivazitu lasimba namimi nasema nsimba mwenyewe nasivazitu

paulomashaka
Автор

Huyu ndemla huyuu wasipoangalia atakuja kuua mtu😂

editambowe
Автор

Chupuchupu wapi, kwani simba ndo team ya kwanza kushinda 2-1?

elizabethjohn
Автор

Hy Ndemla Hn Lolote Angekuwa Mchezaji Mzuri Yuko Benchi Mwezi Wa Ngapi Huu Mchezaji Mzuri Atakaa Bench Miezi Yote Hy

omanmuscat
Автор

haahha kwl ww beki wetu mpya zana nimesha kuelewa mzee baba kwa krose iyo mambo meng tunategemea sante sana na hichi nikiksi b naona maake team aijakamilika wale wafanya fujo umo kama wangekuwepo toka mwanzo kmc usinge toka na goli izo mbil tu

shekhekhandereizer
Автор

Huyu ndemla sasa tutamuomba kocha asimpange atakuja kuuwa mtu

petermgendwa