Je Maumivu Ya Tumbo (Chango) Baada Ya Mama Kujifungua Husababishwa NA Nini? | Matibabu Ya Chango!?.

preview_player
Показать описание
Maumivu ya tumbo baada ya kujifungua, Chango baada ya Kujifungua,,Chango la Uzazi baada ya Kujifungua,Chango la Uzazi kwa Mwanamke,Maumivu ya Tumbo kubana na Kuachia baada ya Kujifungua, Maumivu baada ya Kujifungua kwa Mjamzito, Kujifungua na kutapata Maumivu ya Tumbo,Maumivu ya Tumbo Chini Ya Kitovu, Maumivu ya Tumbo baada ya Kujifungua,Chango baada ya Kujifungua kwa Mama na Dr.Mwanyika

Bonyeza link hii hapa chini ili kusubscribe channel hii

Vyakula unavyotakiwa kula baada ya kujifungua kwa upasuaji

Unaweza kujifunza masomo kupitia Instagram

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.

#ChangoKwaMama
#drmwanyika
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yani unayoelezea ni ya kweli kabisa nimekua nikikufatilia tokea nimebeba mimba na Sasa nimejifungua salama kabisa kwa kufata maelekezo yako Mungu akubariki sana doctor

fauwilliam
Автор

Mm mpaka Leo nasumbuliwa na tumbo na mgongo ni miezi8 imepita tangu nijifungue

BernadethaKidena
Автор

Mm sjazaa ila nasumbuliwa na mamivu hayo slewi

MtilinziLightness
Автор

Mimi doctor nina mimba ya miezi 7 lakini nikienda kujisaidia haja ndogo au kubwa uke unauma sana mpaka nahisi nyama zinatoka nje je nikawaida ama laah hii ni mimba yangu ya pili yakwanza sikuona tatizo hili

sulehyanajma
Автор

doctor kinyama ambacho hujitokeza katika njia ya haja kubwa wakti wa ujauzito ufanye nini ili kiondoke

MulhatAbdallah
Автор

Mimi nimezaa mtoto kwasasa anamiez8 lakin tumbolinauma na nahisi kama kunakitu kinacheza tumbo linakaa upande yan linavimba nakunakitu kigumu, jee? Nikawaida

Heryramadhan-cz
Автор

Mimi sijawahi kuzaa ila napata maumivu ya tumbo kwa mkono wa kushoto chini ya ubavu kila mwezi kila mwezi lazima hii hali inanitokea unaweza niambia doctor Ni Nini shida au usababishwa nanin, Ahasant

halimahalima
Автор

Dr. Mie nimejifungua mwezi 6 sasa ila tumbo licheza kabisa kama vile lina mtoto hivi kuna shida

SiabaFadhili
Автор

Samahan dokta ukiwa mjamzito lamda wamwenzi chango linanguruma tumbon je nitatizo

priscerabdallah
Автор

ivi doctor u trousond hudangany, mana uliongea dalili za mtoto wakiume nikawanazo nimend kuchek nikweri waty wanasema huwa inadangany et

nicecosmas