Je, ushatumia tiba za asili?

preview_player
Показать описание
Tiba ya asili imeendelea kuwasaidia walio wengi nchini Tanzania ambapo Shirika la Afya Duniani WHO linakadiria kuwa zaidi ya asilimia themanini ya watu katika mataifa yanayoendelea wanatumia tiba asilia katika kukabiliana na maradhi ili kupata ahueni ya uponyaji.
#bbcswahili #tanzania #afya
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ndugu zangu, Mimi niliugua vidonda vya tumbo miaka miaka karibia 18 lakini dawa za wazungu hazikunisadia kabisa, Omeprazole nilikunywa nyingi Sana, lakini nilimpata mzee mmoja wa gairo huko akanipa dawa ya asili nilipona ndani ya miezi mitatu.watanzania wenzangu msidharau dawa zetu za asili.

alphonceelias
Автор

Ndugu zangu nasumbuliwa na kichomi ubavu wa kushoto, sijui n ngiri, naweza kupata dawa?

samsonsaniu
Автор

Ukiona mtu ajatumia sawa za asili uyo ajazaliwa bara la africa, kwaiyo mimi siwezi lijibu ilo swali.

sweetbertkilian
Автор

Ukisumbuliwa Na Maradhi Ya Kiroho Na Ya Kutupiwa, Mambo Ni Matatu Maombi!Maombi! Maombi!Ama Nenda Kwa Mabingwa Wa Tiba Za Jadi.Ukisumbuliwa Na Maradhi Ya Mwili, Nenda Kwa Mabingwa Wa Tiba Asili Na Miti ShambaNimemaliza😅😅

georgenjeri
Автор

Mbona hamjatoa mawasiliano wala hamjibu ujumbe tujue mpo wapi

NadramboweNaah
Автор

Mm nina sumbuliwa nahomoni ibaras nimetumiya daw nyingi lakin hakuna mafanikiyo

ViolaViola-goyg
Автор

Nawapetaje jamani nasumbuliwa na p i d na u t i sugu kwa muda sasa mko wapi

AgnessMaiko
Автор

Mheshimiwa mfuko wa taifa wa bima ya afya itumike kwenye tiba ya asli

GilbertGombeye
Автор

Minasumbuliwa napuresha yakupanda nitapataje dawa

JeniferJegwe
Автор

Naitaji Dawa ya Pid maana inanisumbua Kwa muda mrefu Sana please nakuomb

GraceBarabara-cr
Автор

Jaman mnaoumwa upande WA kulia tumboni pemben na kushoto maumivu ya mgongo mpk miguu nenden hospital mkapige ultrosound na vipimo vngin mama angu kapima Leo kakutwa n uvimbe kweny Figo roho inanium mno sijui hta inatibikaje

NasraMdoez
Автор

Iyo yote tumshukuru mwalimu nyerere na magofuli mku wa haki za wanyonge

mangimtatamateru
Автор

Mi nasumbuliwa na uvimbe kwenye kizazi

azizasenga-xuww
Автор

HiZi Dawa za faa kifanyiwa uchunguzi wa kisayansi na kurodheshwa kwa vikundi tofauti na pia vitabu kuchapishwa ili kiwasaidia wateja. Hivi watu hawata tapeliwa manake wizara husika utakua imesha zikagua kwa kimakini.

danwayne
Автор

Anaesumbuliwa na pid dawa ni ndogo sana

ZeynabAlly
Автор

Mi nilikuwa nahitaji dawa yakuuwa paid mnanisaidiaje

careen-ugsu