Ni kweli alipita BERMUDA TRIANGLE(Bahari ya hatari) mara 7? BAHARIA huyu afunguka MAPYA ya eneo hilo

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mpemba ametudanganya😂😂😂😂 huwezi pitisha Meli hapo

MartinaMsimbe-qkug
Автор

Huyo baharia mwenyew jini maana hataki tuoni hata uso wake, au mnaigiza

yussufoptic
Автор

Huyo baria aliyesema amepita hapo ni muongo ata maongezi yake !msikilize huyu mzee kwanza anagea vitu vya kisomi!na amesoma hata maongezi yake ukisiliza yamenyooka!pili marekani wanafanya research mpaka hivi sasa kujuwa what happening triangle hawapata jibu!sasa yeye kapita mara saba wapi?huyo ni si baria huyo ni mwiba meli!

geraldmnyema
Автор

Pumbavu hakuna mtu amepita hapo akarudi

aliaden
Автор

bermuda triangle hauna imepita ikatoboa

aliaden
Автор

Kazi nzuri ila muhariri amezingua kidogo maana ilibidi skate ama editing kile kipande ambacho mgeni anaongea na simu

hansmtalikwa
Автор

Huyu jamaa stori yake inamake sense…ni mzoefu

aminmohammed
Автор

Anaetoa hii story, kaaskia kwa rafikiake, Amna ukariri wa hivi ukiwa na experience, I doubt 🧐

Jemahjampa