BAHARIA:NILIYOYAONA NDANI YA MELI NI MAZITO/TULIZAMA SOMALIA/USIKU/MAHARAMIA..(REVIEW..2022)

preview_player
Показать описание
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News

#simulizi #maisha #baharia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Bless REHMA SIO LAZMA MTU AFE ATA ANAEISHI ANAHITAJI REHMA, , , Nakubali sana wengi wanafkiri mtu afe ndio aombewe rehma

haroublato
Автор

hujawahi kumpata bahariya ulie fanya mazungumzo matam mno mno kama kama broo hiyo heshima kwen❤

HarunaShabani-hymx
Автор

Mini microphone imetulia hata mtangazaji unakua upo huru mkono hauchoki big upo kwa hatua Mbanga

Pedeshee
Автор

Pia unaelewa TOUCH DOWN terminology ya Aviation

haroublato
Автор

Dah kaka mkubwa umepambana sn na kipo cha kujifunza

SuleimanOthman-iu
Автор

Tuko hapa wa Mombasa tumetokea likoni, Likoni pia kuna mabaharia wengi mtaani huko Shelly beach 😀😀🤣alifika mtaani kwetu kabsa

meshakirahman
Автор

Nime furahi Sana hii story, hongera Mzee wa mbanga na mpiga picha wako Safi sana

naftalimsangi
Автор

Mbanga duu hujawahi kumpata mtu mwenye story nzuri kwa mwaka

YusuphKidaha-pndf
Автор

Jamaa nimemkubali kila nikimsikiliza story zake huwa zinanitia moyo

MrKhatibu
Автор

Mwega from français apa bocha tunajifuza vigi sana brothe mwega niko apa Mayotte la France

djamilaeli
Автор

Hii stori sehemu ya 3 mtaipost lini...?

bekacarter
Автор

Dar 24 mbanga katika story zenye uzito mkubwa hiyo ya bwega bahariya inaongoza kwa miaka 2 wengine huwa hatuwaelewi wanaongea kama walihadidhiwa hv

YusuphKidaha-pndf
Автор

Hahaha wewe kweli ni baharia 😄😄 na umejua kuhasto.

nakundwamkubwe