UKIGUNDUA UNAMPENDA MTU AMBAE HAKUPENDI FANYA HIVI UTANISHUKURU BAADAE

preview_player
Показать описание
#fafanuomedia #tujengemahusiano #knowledgeforyourfuture #subscribe
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hakika, nimelia ktk mapenzi ya mtu niliyedhani ndiye wakufa na kuzikana kumbe mungu kaniandalia mahusiano mengine kabisa, nilipo sasa nina furaha na amani muda wote nimesahau kama nilikuwa nampenda mtu kiasi cha kuchanganyikiwa na kutaka kujiua, mungu anajua kesho ya kila mwanadamu, rafiki usilazimishe akupende acha aende zake

winfridapeter
Автор

Big up Sanaa bro umensave sana God bless u nashukuru sanaa

jimmygeorge
Автор

Shukran kwa funzo, , , , yan tunapata kujifunza kwakwel, , , mana mapenz ni maridhiano jaman☝️🌹

aash
Автор

NGOJA NIKUPE NAMBA ZA HARMONIZE UMSHAURI KWA KAJALA😂😂😂😂😂😂MAANA YULE MMAKONDE MBISHI JMN..😅

Amobizzy_OG
Автор

Tangu nizaliwe nahic sijawahi pata mtu ambaye Mungu aliniumbia

DonathaMlwilo
Автор

Tatz kaka hujui upendo nin wew unajua sometimes unampemda mtu na wala hutaki kumkosa

bizzoforreal
Автор

Asantee kaka yani hiyo inanitesa sana nambayazaidi kilasiku lazima aje office kwangu anakujakwajilani mara anisalimie ckuzingine anakausha hanisalimii yani naumia duuuh na anaengea nampenziwake mbeleyangu bilakujali maumivuyangu

aulelichuma
Автор

Yea when u face such just love yrself more better coz is dangerous to let yr heart love someone than yrself

elizabethree
Автор

Wengi tumeowa tuliowatamani kumbe haitakuwa sahihi tuliwaacha waliotupenda mwisho tukawajutia

oskakayombo
Автор

aaah wee mm ntampenda tyu ivo ivo **nitateseka lakn nitaendelea kumpenda tyu 😢😢😢😭

josiahjs
Автор

Kwel na lakn ikipendwa na asiyependa na akawa king'ang'anizi pamoja na kuambia humpend lakn bado akaendelea kung'ang'ana inakuwaje hapo?

einothchristian
Автор

Na kama ananipenda na mimi simupendi nifanyeje ili aniache

Manenoofficialfamily
Автор

ni kwel, , , , kukubal ukwel unaokuumuza ni kuliko kung, an, gana

aash