filmov
tv
AIC Chang'ombe Choir (CVC) ft. Joel Lwaga - HABARI NJEMA (Official Live Video)
Показать описание
#HABARI NJEMA, ni wimbo wa Tano katika IBADA YA MOYO WA SHUKRANI iliyofanyika 10 NOV, 2023 katika kanisa la AICT Chang'ombe, Sokota Temeke Dar es salaam.
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, huu ni mwaka wa kubadili historia yale yote yaliyofungwa yanaenda kufunguliwa kwa jina la YESU. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
Habari njema
Ulimwenguni kote
Sikieni ujumbe wa BWANA
(Neema imefunuliwa na BWANA)
Neema imefunuliwa kwetu
Sikieni sauti ya MUNGU
Huu ni mwaka umekubaliwa na BWANA
Mwaka wa kubadili historia
Mateso tena hayatakuwepo
Kwa uweza wa MUNGU
(Wa MUNGU)
Vilivyofungwa
vinafunguliwa
Kwa uweza wa MUNGU
Roho wa BWANA MUNGU
Yu juu yangu
Kwasababu BWANA
Amenitia mafuta
Niwahubiri wanyenyekevu
Habari njema
BWANA amenituma ili kuwaganga
Waliovunjika moyo
Niwahubiri wanyenyekevu
Habari njema
BWANA amenituma ili kuwaganga
Waliovunjika moyo
Niwatangazie mateka
Uhuru wao
Na hao waliofungwa
Habari za kufunguliwa kwao
Niwahubiri wanyenyekevu
Habari njema
BWANA amenituma ili kuwaganga
Waliovunjika moyo
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Elisha Gerlad
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Emmanuel Yusuph (BASS)
Daniel (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro
Ndani ya wimbo huu AIC Chang'ombe Choir tunamshukuru Mungu kwa baraka zake alizotukirimia kwa zaidi ya miaka 35 tangu kuanzishwa kwa kwaya yetu.
Tunaamini wimbo huu utaenda kubadilisha maisha yako, huu ni mwaka wa kubadili historia yale yote yaliyofungwa yanaenda kufunguliwa kwa jina la YESU. MUNGU AKUBARIKI.
LYRICS
Habari njema
Ulimwenguni kote
Sikieni ujumbe wa BWANA
(Neema imefunuliwa na BWANA)
Neema imefunuliwa kwetu
Sikieni sauti ya MUNGU
Huu ni mwaka umekubaliwa na BWANA
Mwaka wa kubadili historia
Mateso tena hayatakuwepo
Kwa uweza wa MUNGU
(Wa MUNGU)
Vilivyofungwa
vinafunguliwa
Kwa uweza wa MUNGU
Roho wa BWANA MUNGU
Yu juu yangu
Kwasababu BWANA
Amenitia mafuta
Niwahubiri wanyenyekevu
Habari njema
BWANA amenituma ili kuwaganga
Waliovunjika moyo
Niwahubiri wanyenyekevu
Habari njema
BWANA amenituma ili kuwaganga
Waliovunjika moyo
Niwatangazie mateka
Uhuru wao
Na hao waliofungwa
Habari za kufunguliwa kwao
Niwahubiri wanyenyekevu
Habari njema
BWANA amenituma ili kuwaganga
Waliovunjika moyo
Special Thanks
AICT CHANG'OMBE CHURCH
Mch. Dr Joseph Mayala Mitinje
CREDITS.
Song writer - Elisha Gerlad
AICT Chang'ombe Church
AIC Chang'ombe Choir (CVC)
MUSIC DEPARTMENT
Music Team - Benjamin Makolobela (MD,MAIN KEYS)
Elisha Gurlaty (AUX 1)
Elia Mahuna (AUX 3)
Onesmo Peter (AUX 2)
Emmanuel Yusuph (BASS)
Daniel (LEAD GUITAR)
Mayala Bubele (TRUMPET)
Charles Stenson (TROMBONE)
Meshack Wilson (TROMBONE)
Eliya Makaya (ALTO SAX)
Raphael Luhende (ALTO SAX)
Samson Mathew (DRUMS)
Video production - CVC Media
Audio Mixing & Mastering Engineer - Tamie Bimha
Sound System, Backline, Lights, Stage - Haddypro Campany Limited
Project Manager - Dr.Elidady Msangi Ejazz01 Music Pro
Комментарии