SAMAKI MKUBWA WA AJABU AKUTWA BEACH KAWE, WANANCHI WASHANGAA

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kwan ajabu jaman kukutana na samak kama huyo baharin? mbona mnatutia aibu? hao samak wenzenu wanawavua na kawaida tu na wanawekwa hata maonesho lakn sio kitu cha kushangaa hvyo

valeriaally
Автор

Mbona huyo mdogo yule wa kilwa ndio alikuwa balaa

NurdinHamis-eohz
Автор

Bahari na nzige ni halali maiti zake, pimeni kama hana sumu kuleni hiyo mboga. ALLAH amewaruhusu ALHAMDULILLAH

nth
Автор

Jmaa uyu wa mwish yuk sahii ktk maelez

barakasteven
Автор

Jamaa ameeleza kitaalam sana ameondoa Imani potofu

luckymartin.
Автор

Jamaa wa pili alianza kinyonge ila kuwa kwenye umaliziaji

meckytossy
Автор

Huyo ni nyangumi kiswahili kizungu ni while sio dolphin

hassanahmedhussein
Автор

Watu wengi wanachanganya kuhusu hawa dolphin and whales, yaani nyangumi. Hawa siyo samaki ni wanyama waliopo kwenye kundi la jamii ya mamalia kwani wanazaa na kunyonyesha kama ilivo kwa bunadam na mamalia wengine. Na hawa ukiangalia kwa makini wanavinyweleo na nipple's, yaani sehem ya mtoto kunyonya. Na pia nyangumi ndiyo mnyama wa kwanza kwa ukubwa kuliko hata tembo.

sephaniangulo
Автор

Haya. Haya sio wanamshangaa wanatafuta nafasi kuchukua kitoweo halafu matatizo yakitokea tuanze kulaumu

muzneali
Автор

Jama wa mwisho maelezo yake yamenyooka

gb-one
Автор

Nimejaribu kufuatilia nikagundua huyu ni nyangumi sio dolphin, aina hii ya nyangumi wanapatikana sana Tangier, Morocco

DullaDulla-vcic
Автор

Atakaye nipatia kinyesi chake kuna pesa hapa, na usilete kwa udanganyifu itaku coast. Laki tatu haraka.

tabibumuombe
Автор

Huyo haliwi jamani. Tena hamjui amekufaje. Msichukue nyama hapo mtakufaa jamaani.Acheni uroho.

valenakomba
Автор

samaki anafariki???? yaani kuna hayawani anaefariki?

manyaraitv
Автор

Dolphin kwa kuswahili ni Pomboo na siyo Bomboo

dolphin_
Автор

mambo ya kawaida tu sasa tena wabongo itakua uzushi mtupu manenoo meeengiii yataanza kusemwa

ahmedbashash
Автор

Kisamaki kdgotu hiko hamjaona samaki mkubwa

mwadhinjuma
Автор

Kwaiyo hamujawahi kumuona samaki mwenye ukubwa huo 🙄

mwanatz
Автор

Haitwi bomboo anaitwa pomboo kwa kiswahili

sijalikifunyo
Автор

mtangazaji anasema dolphin (pomboo), mwenye fulana anasema Nyangumi (whale), mwisho yakamfanya msosi tu.... Nikamuuliza mtafiti wa Nyangumi kasema huyu ni 'Dwarf Sperm Whale'

mohammedkhimji