ZILIPENDWA BEHIND THE SCENE (PART 1)

preview_player
Показать описание
Send 'Skiza 8540075' to 811 (Safaricom). The Song features all WCB WASAFI Artists including Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava , Queen Darleen and Rich Mavoko.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Diamond inaikuza sana TZ kupata mwamziki mwenye kipaji kama wewe. Umeipandisha ichi yetu juu sana. Lazima tukusaport. Mambo ya prive sisi tusiyatilie hayatuhusu. We love you Bro

faridapatel
Автор

I don't understand the words but I luv all ur songs😊😊😊😊and this zilipendwa is so even if u don't understand the words but the sound is just mwaaah👄can't stop dancing to it much luv from Uganda . Waiting for u on 6th October 💃💃💃💃💃💃

tifahbebecoolsdiehard
Автор

mimi nilikua nashida kusubiri wimbo wa WCB nzima😍😍..kama uko kama mimi like

josebrownbongo
Автор

Watching this today 2023 guys hebu mpeni diamond heshima anayostahili jmn ameipambania xanaaaa bongo flevaaa

eliahmbaruku
Автор

Nampenda diamond sana he is very calm person 😘😘😘😘😘

annapeter
Автор

Mbavu zangu mie zilipendwa hakunakama mond wanaowivu wajinyonge

naghalatiabdull
Автор

Thanks thanks sana mr CEO Wcb simba waduniaaaa nakukubaliii 100% waonyesheewe

djpuloallvideos
Автор

hatareeee like ya kwnza comment ya kwanza #zilipendwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

andrewjohn
Автор

Guyz mnajua had mnaboa ngoma mmeua aseeee cyo poa nazidi kuwaelewa mko njemaa sana yan mnanikosha hatar....

preciousmohmed
Автор

Raymond na mondi always fight😂😂Akuna anataka kupitwa

rochenyambura
Автор

Heri yako Queen darline ktk uvaaji huna mpinzani... Ila mpaka kazi iishe mko Hoi... Poleni kwa kazi chama kubwa chama WCB

halimambwego
Автор

Aisee chibu ww mbunifu sana kaza mwendo usikubali kukatishwa tamaa

scholastikasweetbertmapund
Автор

@diamondplatnumz a.k.a you are one of the best artist in Africa keep it up bro

mosesleons
Автор

Msisahau kuwatch zilipendwa yetu kadri uwezavyo bila sisi no Diamond, tupambn

babillonbyser
Автор

I loved it when Wasafi had everyone ♥️♥️♥️

Tamaxali
Автор

Diamond is so much patient na hii vijana wake big up boss

peterkosgei
Автор

noma bro haya unavyo ishi na hawa jamaa tunaona kak uko vizuri simbaaa

zubery
Автор

Thank mr CEO Wcb nakukubaliii asilimiaaaa 100 wanyosheee

djpuloallvideos
Автор

Hahahah mkojuu watu wangu #Zilipendwa ni noma👌👌👌👌

hassanovajunior
Автор

Aisee mlifanya kazi sana hongera kwenu nice ngoma

zulfashaban