Mapoz Behind the scene Part one (1)

preview_player
Показать описание
Get Mapoz Song👇👇👇

Diamond Platnumz Booking Info:

Catch Up With Diamond Platnumz On:

#Diamondplatnumz #Wasafi #music
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ukiachana tu na kuimba, Diamond Platnumz pia ni bonge moja la Director 💯

Pengine hii ni sababu way way back alikua Photographer? Labda ilimsaidia, kwasababu Videos anazoshiriki kabla hata ya kuanza kushoot tayari Kichwani anajua itaanzaje/itaishaje, location, mavazi, washiriki nk.

Tazama BTS zote tangu anaanza Music, utakubaliana namimi.

edwintouches
Автор

Mondy is a wonderful mentor i like him so much

WinnieAlosa
Автор

Ndomana jamaa anafanikiwa, , Kiukweli mwamba anapambana sana, , Alafu love kwa wenzake ni kitini

JP-lxle
Автор

nachukuliaga poa poa tunikiona ngoma imetoka kumbe ndy mnavyo sota 😢😢😢 hongela lama simba dangote ❤❤❤❤❤

PrivaSamson
Автор

Diamond Platnumz kiwanjani kazini...alafu Harmonize anataka apewe chakula mezani😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿

SimonBaraka-yvcx
Автор

Diamond making melody shine . Wonderful mentor

ejidioskabiru
Автор

We konde ??? Haujui m n simba la masimba dangote… maku nyie… waambie wanipe like zang m nambari1

HipHop_
Автор

Singer, , dancer, , director in one😂, , , simba!, haujui, , ,

nelsonnelito
Автор

Yan daimond ni mtu powa Sana Yan ndomana namkubali Sana Yan, , Daimond anaupendo Sana na anafaa Sana kuwa dairectar Yan, , Yan nikimwangalia daimond ufanyaji Kaz zake Yan kama mim yan

jamilaathumani
Автор

Watu wa diamond platinumz tujuane kwenye like jamani 🎉🎉kwaku

BishanaAssumani
Автор

Mondi kama mondi hana kujikweza aisee .. mtu poa sanah
Ni haki yko kuwa hapo
Una nidhamu

khadujifuad
Автор

Na omba mungu azidi kunitiy pumzi iyi nita replay 2030

ISBLion
Автор

Hyi diamond ndio maana hifanikiwa kulingana na roho yake alafu jay anakua mtwe love u both hwre in kebya 🇰🇪aratibu sana na kuskikiza wenzake

ashaali
Автор

Simba ni director mzuri sana big up Mr brain simba

fathiafathia
Автор

Thank you jaymelody for making kenya proud

MonkKenyancomedian
Автор

Queen always there behind the scenes. I love it

kenrifambi
Автор

Mond anapenda wenzake sana unaona ni jinsi gani anavyo mpendezesha melody

flinchclassic
Автор

Nakubali sana mwamba simba, na dakitari bingwa wa mapenzi mwite JAY MELODY

JosephMagandu
Автор

Mondi yuko makini sana na kazi yake👏👏
J melody bonge la boshoo

iddimngazija
Автор

Aliegundua hap platform alixhutia wimbo na marioo ..gonga like

marcokalinga