Producer wa CHECHE na OMUKWANO, Mocco afunguka anavyoweza kufanya kazi na DIAMOND na KIBA bila UTATA

preview_player
Показать описание
Mocco Genius ni moja ya watayarishaji bora kabisa kwa sasa! Miongoni mwa nyimbo alizotayarisha ni pamoja na:

1. Cheche – Zuchu x Diamond
2. Sina Nyota – Mbosso
3. Haijakaa Sawa – Mbosso
4. Sonona – Susumila x Mbosso
5. Ate – Mbosso
6. Ashua – Zuchu x Mbosso
7. Mauzauza – Zuchu x Khadija Kopa
8. Omukwano – Tommy Flavour x Alikiba
9. Unanikosha – Marioo
10. AYA – Marioo
11. Gubu – Killy x Alikiba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kaka mkuu nawafatilia sn nyie mko vizuri kwenye mahojiano yenu na maswali yenu ni mazuri sn, hongereni kwa hilo kaka mkuu #SNS🔥

MS.independent
Автор

Huyu Mocco Genius ni mnyama sana aisee..kwenye Haijakaa sawa (Mbosso&Aya ya Mario) aliua sana aisee.
Hongera sana kwake

amriseleman
Автор

Bora wew una AKILI na kwa maana hiyo hakuna cha MSANII MKUBWA KUKUMBATIA KISA TU MZURI...maana kuna wasanii wanajiita wakubwa wakiona vitu vizuri wanavivuta kwao tu ....BORA UNA AKILI 👏👏👏👏

mwasimbega
Автор

Mocco the best producer na amezungumza maneno makali tena mzuri sana

habibasallah
Автор

Producer wangu no 1 Lizer classic, no 2 S2kizz, no 3 Abbah, no 4 Black, no 5 Moko .

heriholder
Автор

It’s true, , even love tanzania music moo than my home country music🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣am really crazy 🙆🏼‍♀️

messaabbas
Автор

Bwana mdogo yupo vizuri sna kwa nyimbo za mwambao.

sponsor
Автор

Kabla ya kuangalia hii interview nilicheki dakika nilihic ntaishia kati ila JAMAA ANAJIBU MASWAL HUCHOK KUMCKILIZAA ANAYOOSHAA INAVYOTAKIWA kweny kujibu 👏👏...!

mwasimbega
Автор

This guy is very humble, keep it that way!

nenadurra
Автор

Huyu jamaa nimemuelewa sana sio snitch havujishi kazi naomba kingkiba hasimuache isitoshe ni mkali katika production big up bro

allenonesmo
Автор

Fetty sley ft dully Sykes NABEMBELEZWA
All the best kwake.
Thx SnS.

allyfatma
Автор

It's good to see a producer who's open na ako tayari kufanya kazi na yeyote. But wasanii ndio huwa fanya directors na producer kukosana tu. But wengi pia wanaujinga eti thy can't work with other artist .eg maybe upate Lukamba hawezi fanya kazi na mtu mwingine kando na WCB coz he Blvs no on can pay him better inakuwa dharau tu.this guy is wise when working with him rules ni zake not urs ukikosana na watu ni huuuko whn u come to him it's business

nellymatalanga
Автор

Kadogo mpka sauti yake ndogo ila kazi zake ni 🔥🔥

asiajuma
Автор

Sky muulize moco kama alishawahi kufany kaz hekman records studio

ramsdenjames
Автор

𝐒𝐧𝐒 𝐮𝐦𝐞𝐧𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐧𝐢𝐚𝐧𝐳𝐞 𝐤𝐮𝐟𝐮𝐚𝐭𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐚 𝐩𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐞𝐫. 𝑲𝒂𝒛𝒊 𝒏𝒛𝒖𝒓𝒊

zclassicfashionz
Автор

Sns kila msanii mnamzungumzia ugomvi wa Mondy na ally kwann?

michaelkabeta
Автор

Bro fedrick nakuona unakau team frani iv nazani Bado utakua hujajistukia Kuna majina Fran hayakauki kinywani kwako

yusuphanyimike
Автор

PROMOTION KUBWA NDO INAWEKA MSANII JUU...ONA KAMA ZUCHU...MUDA SIYO MREFU NA TAYARI ANATAMBA KIMATAIFA NA PUNDE ATA ANZA KUENDA MASHOW ZA NJE...PESA NYINGI NA NGUVU LAZIMA ITUMIKE

gabrielomondi
Автор

Akitaka niende nitaenda kwasababu ni business, , ikilazimu aje atakuja kwasababu ni biashara "imeisha hiyo"

sulaymanwaziri
Автор

Interviews ya kibaguzi kinyama mwambie sina, toto, for you, omukwano, mshumaa, zote hiz hits ila sky unataja nyimbo ambazo ni za kawaida ujinga kama huu ndo hatuitaki

realonlinetv