DIAMOND afanyiwa mahojiano na GRAMMY, Awa msanii wa kwanza Africa Mashariki kupata nafasi, Afunguka

preview_player
Показать описание
#Grammy #Diamond
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Heshimu Mtu Mzima Diamond Simba Na Kazi Yake Njema Kwa Wa TZ Na Ulimwengu Kwa Jumla Hongera Mwanangu Diamond Simba Shabiki Mama From Nairobi Kenya.

julianamahindu
Автор

Game kazi chibu...fans tupo nyuma yako

iconboy
Автор

Sijui km konde boy angeweza kujibu hayo maswali effectively km alivyo jibu ❤️❤️

Waytozanzibar
Автор

Uyu jamaa ni hatari sana anatuwakilisha vyema namkubali sana💥💥💥🦁🦁🦁🦁

abdallahmtapila
Автор

Big up diamond, unazidi kuwa juuu na itabaki kuwa juuu endelea kupeperusha bendera ya tz Kwa upande wa music, wanaokupiga mawe a kuimba mafumbo kama kwenye taarabu achana nao, wewe piga KAZI unatambulika duniani, Ur the best

starcostantine
Автор

We bwana presenter ni Nyoko sana
Umeweza san kuichambua hii kitu Hongera san mzee

Keep it up
Bro

safaristanley
Автор

I don't care about who saying what, one thing I know diamond deserves to win that Grammy Award period.

blandinamnyinga
Автор

Hii taarifa itabidii brother Sky akirudi mtuandalie #Recap hii ni taarifa kubwa sana.

bakaribakari_
Автор

Diamond he deserve to be a LION 🦁, , people they just hate him for nothing, ,but the diamond will remain to be a diamond 💎 bless you simba 🙏🏻💕💕

messaabbas
Автор

#Clouds #Efm #Mwijaku na Radio zingine waache kutumia nguvu kubwa kumshusha #diamond coz wanajisumbua He is an International Musician

alickodaniel
Автор

Mahetas #mtapata tabu sana mondi ndio mambo mbaya💫💫🥰🥰🥰🥰

azizayassin
Автор

Bongo fleva ni diamond he deserves respect

williamkigonela
Автор

Ukijituma kuheshimu kazi kuwasaidia wenzako na kumshukuru Mungu kila hatua ndiyo siraha ya kazi, diamond you deserve to be a king 🤴 💯💯💯🔥🔥🔥🔥.

francissamson
Автор

Diamond the lenged keep going Mashallah 🇸🇪

saraagire
Автор

Hongera baba Tee nafurahi kwasabab kupitia hii unazidi kujulikana na kupata madili zaidi kutoka nje nasikia kubarikiwa asante Mungu kwa baraka yako

vanessajames
Автор

He the blessed man all the best Mr Nasib

princebagona
Автор

Diamond angetoa nyimbo au albam mi ninaimani mwakani anaweza akawa kwenye tuzo za Gramm
Mungu akusimamie Sana diamond

ashanalinga
Автор

Simba kama Simba, , tutashinda2 in sha Allah

wardamasoud
Автор

Umeniwezaaa hii ndo nilikuwa nasubil ndo niende kula asee big up Sky na sns kwa kutujali Ahsante

maratvonline
Автор

Wenyeji mnamchukia lakini watu wa mbali wanamkubali hii inaonyesha kua wabongo wivu wa maisha umetujaa

rahelmasiga