Marioo - Aya | Beat Making Session

preview_player
Показать описание
#MoccoGenius #Aya #Marioo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwakweli Napenda sana hiyo kazi ingawa sikubahatika kupata ujuzi wakazi hiyo

BashiruMussa-ev
Автор

Who else this guy should be a singer too.. he's got sweet melodies chai 🔥🔥🔥

Eneji
Автор

Tuonyeshe jinsi unavyo Fanya mixing ya beat na vocals na mastering ya beat na kila MTU anagonga mocco apo kwa mixing and master itatusaidia

bronzebeatz
Автор

Yani mocco wew ni zaid ya prod..🔥🔥 nahuwa c beatz huwa unawapa zawad wasanii

shabansalum
Автор

wengi wanakuita mzee wa zinanda na hilo me sipingi big up brother moco

motakib
Автор

The Real Genius✍️🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️..Wallah Mungu alikupa Kibaji kikubwa sana

chagaboy
Автор

Mdundo hatari mocco..mm nnakufurahikia sana, zaidi kazi yako

producershackx
Автор

Mocco unajua mabeat unajua kuimba oooyh unabalaa fundi muziki

emetrotz
Автор

Ni adilipendo kutoka Kenya nimeupenda Sana huo umarufu wako Mocco

ADILIMUZIKIKSUBSCRIBERS
Автор

Yoow moco the genious hii style ilkua kali sana sijui naeza kupataje mawasilliano na ww

timstoughbeats
Автор

Safi ndugu ukipata nafasi tuonyeshe na leveling ya hit beat

homeboy
Автор

🎺🎺🎺🎺kila siku hua nasema ww vitu vichache lakn vimepigwa kwa ustad mkubwa sana Big up

EREVUKATV
Автор

Kak wew ni mutuuu mubad san naamin siku moj nitafika huko🎉🎉

officialdaudipaul
Автор

Sema mocco ungeifanya na Cheche maana sio powa ile beat IPO kiutofauti sana

syntaxsaintezzer
Автор

Content nzur bro endlea ku2elmisha✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾🙌🏿🔥

nicholausnelson
Автор

du! unakaa muda mrefu sana ndg tunamis sana vitu kama iv

chifupromise
Автор

Very good sound selection and layering Mocco 👋

riversideproductionztv
Автор

Dah brother..eeh me nimeelewa sana we ni mkali kinyama...napenda sana sana mziki..napenda nijifunze production ...

jaskperso
Автор

Wish to record with you bro one day inshallah love toka KENYA...pwani #kilifi..

nundamalickofficial
Автор

Nakuaminia kaka.. natazamia kufanya kazii nawe... From 254

wartizo_music