Kontawa ft Dayoo & Platform : Raha

preview_player
Показать описание
#kontawa #dayoo #platformtz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

ASANTENI WOTE MNAOENDELA KUNI SUPPORT 🙏🏾💥

kontawa
Автор

Nakukubali sana Mwanangu Kontawa ..KENYA TWAKUKUBALI

kassimlugwe
Автор

Nyie ni mafundi sana Mungu azidi kuwafanyia wepesi❤

jada
Автор

kmmk we msenge unajua unazika Mzee baba

chrissoty
Автор

Hivi mpaka leo hii nyimbo haijafika 100k jamn acheni utani hawa watu walio I’m a hii nyimbo ni noma sana aseee

entertainmentzone
Автор

Asee my bro kontwawa, dayo, platform mnajua hadi mkera sana

msabahaproduction
Автор

jamaaa noma saaana...kenya twakukubali kishenzi

macdee_tv
Автор

Love from Burundi 🇧🇮 Bujumbura kama Bujumbura Big love #Kontawa

iddyclassichb
Автор

Jambo zitoo sanaa 🔥🔥🔥🔥 lets keep the spirit 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

Dicazzi
Автор

I love this from Kenya .... Ati spendi dem mrefu maana maisha fupi

King_Dancelord
Автор

Mwanang Alf mwanamuziki mkubwaaa Sana Alf mtt akikataa kataa tunamtishia mdudu Alf me nkiamua kusubutu Dem mwenye umeme namtongoza kwa ruku

roydsbrowntz
Автор

No one like kontawa mi nachekaga tu
Salute 👊

mulababaz
Автор

Goma kali aaisee... Kenyans tumeikubali🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Willyetole
Автор

Platform you killed it men hiyo collaboration lit 💥💥✌ big ups from 254ke...where memes originates...🤣🤣😂😂

richvannyrichie
Автор

kontawa big up upo na young talents in east Africa

hilalmohd
Автор

Dah!!! Ngoma naikubali Sana nyie ni noma

haisamseif
Автор

Hazila mbao toto la kirang 😘😘😘 much love you 💞

aminaamina-xjqs
Автор

Unakimbizaa tawaa angalia zaidi sshv mistari ya kuelimisha jamii .mazingira na ujasiriamali

arnoldmeyasi
Автор

Bonge Moja la Dude Mamae All of U killed it

Conshamusic
Автор

Baba wachepe chupa safi sio poa kiwashe wamebwatooo🔥💥🔥💥

realjimmy_OG
visit shbcf.ru