Essence of Worship-Rafiki Mwema

preview_player
Показать описание
#essenceofworship #rafikimwema #officialvideo

Yohana 15:15
Siwaiti ninyi watumishi tena kwa sababu mtumishi haelewi shughuli za bwana wake; bali nimewaita rafiki, kwa maana mambo yote niliyoyasikia kutoka kwa Baba yangu nimewa fahamisha.

Audio production @frester's records
video Captured @syber_film
Video editor @Daniel Sankey
@Hurudistributers.Channel Administered by Huru Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Finaly!!! Watu wa reggae tumefikiwa 🙌🙌🙌🙌 kazi safi sana Essence of Worship

solowmak
Автор

GWAMAGA MUNGU AZIDI KUKUTUNZA SANA, UNAKUZA VIJANA KATIKA MAADILI MAZURI, MM NAKUKHAKIKISHIA KITI CHAKO MBINGUNI KIPO.

njeyaduniatv
Автор

So uplifting song🙏

I leave this comment here so that whoever likes, I listen it again.

jiaminitv
Автор

Nmeusikia huu wmbo nmebubujikwa sana na machoz😭... Umenifikia kwa wakat sana.. umenipa nguvu ya kusonga mbele... Nlkua namaumvu sana juu ya marafk na wat wakarb walionizunguka.. nlkua nalaum sana nakuona nmeachwa peke angu 😭😭... Lakn leo nmekumbushwa kuwa HAKUNA RAFIKI KAMA YESU😭🙏 BLESSED ESSENCE OF WORSHIP

marymbwana
Автор

it is the rap part, ,,,for me and the drummer, ,our own Amani Baya 🔥🔥🔥🔥

michaelomondi
Автор

proudly from Kenya seeing our Amani Baya on the drums there :-) great music guys as always thanks

ruthsarahachieng
Автор

the moment you think you have seen the best from Essence of worship, another suprise comes by. Everything in this song was on point, the vocalists, the instrumentalist especially the drummer and the bassist

edgaremmanuel
Автор

I want to write to our neighbors from Kenya...this people never hesitate to show how blessed they feel.... seeing one of their fellow ..Aman and they show recognition and love....I like of worship be blessed

dafrosafaustin
Автор

Yaan we kenyans🇰🇪, tunasupport mziki ya Tz kuliko wao wenyewe

wambuatom
Автор

Such a good song! I’m so glad I traveled all the way to Dar es Salaam from Nairobi for this live recording, and this song was one of my favorites. Glory to God! Thank you EoW!!
Also, can we just take a minute and appreciate how people from Tanzania are beautiful? 🔥

MiriamSagini
Автор

Wooow... Our own Amani Baya on drums. He never disappoints💯... Essence of worship just a good inspirational team

levy_gitonga
Автор

Our Amani Baya from Kilifi Kenya, great vocals, great music composition. Huuuh! Asanteee!

ruthmanoti
Автор

Beautiful, Rafiki mwema....shout out to our Kenyan drummer Amani Baya❤️❤️❤️❤️❤️❤️

idafaith
Автор

Nimetambua kuwa sina rafiki kama Yesu. Love ❣️ the song.
Big up to the drummer Mr. Amani Baya from KE.

onesmuswanjoya
Автор

The Rapping part is 🔥🔥🔥🔥 and Amani Baya representing🇰🇪🇰🇪🇰🇪

EuniceGich
Автор

Yesu Rafiki mwema.Hapana aliye Kama Yeye.Ni Rafiki WA kweli siku zote .Ahadi zake ni za kweli 🔥

MinisterSilas
Автор

SIJAONA SIJAONA SIJAONA SIJAONA RAFIKA KAMA YESU!
♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🎶🎤🎹😇😇

SamuelErnest
Автор

Eeeeeh yesuuu representing nyinyi saaana

chebetsharon
Автор

COME TO OUR BEAUTIFUL JESUS AND BE HEALED FROM ALL OF YOUR DISEASES AND INFIRMITIS!AMEN!ILOVE JESUS!

leonardnewschannel
Автор

Yesu Rafiki mwema kweli ooh yes 🎻🎸🎺🎤🥁🎷⛪🏃🏃🏃🏃🎧watuuu come here this a Yesu Yesu

gatugacheru