Pastor Epa - Uinuliwe Yesu (Live) Official Gospel song 2020

preview_player
Показать описание
This song was:
Written by : Pastor Epa
Live recorded at Gold Crest Hotel Mwanza - Tanzania
Music arranged and Directed by Sephone Sospeter
Audio Captured, Mixed and mastered by Chosen record - Samwel Mboya
Video capturing , Editing and Mastered by Magulu studios International

LYRICS
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema

Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema

Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema

Eeh Bwana katika miungu yote,
Ni nani aliye kaama wewe,
mtukufu katika utakatifu,
Mwenye kuogopwa katika sifa,
Uliyevuma kwa upepo wako,
Bahari ikafunikiza adui,
Wakazama kama risasi,
Risasi ndani ya maji makuu,

Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema

Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema

Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema

Woo wo wo wo Wo wo,
Wo wo wo wo Wo Wo

#EpafroditoKechegwa #Epafrodito #Epa #UinuliweYesu #Uinuliwe #Yesu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Those from tiktok let's gather here and praise the Almighty God👇

MercyroseWahome_
Автор

Nyimbo ya 2020 lakini trending in 2024, This shows God's timing is right, Nani alijua hii nyimbo ni ya 2024 Kama Mimi??❤❤

weelee
Автор

Wenye tumeletwa apa na status...this Song is just a blessing!🇰🇪🇰🇪

elleparks
Автор

Who is still watching with me as we enter in 2024, as his name be lifted higher, glory to God

ogwaldennis
Автор

Glory to Jesus Asante sana Hongera sana Mwanangu Ndio maana na Mpenda sana YESU MUNGU akutunze sana Kazi ni nzuri unanguvu Sana

boazdanken
Автор

Nimetoka tiktok kuja kusearch huu wimbo.may almighty God bless me

DorcasMonze
Автор

Love this ☝️❤
July 31st-August 2024 let me see your likes and comments
KENYA 🇰🇪

daisyjeanwonder
Автор

Tuliotoka tiktok kuja kusikiliza wimbo huku tujuane jaman 👏👏👏💯

NavonMboya
Автор

Naombeeni likeee zenu watu wa Kanda ya ziwaaa Nimebarikiwa Kuwa Na Huyu Pastor Epa Kwenye Kongamano Arushaaa

mordekaikiwango
Автор

Mimi status Na tiktok zilinituma uku. Unfortunately I didn't know the title of the song. I searched for Content within the status line. Finally got it. Such a blessing 💖

nicholasgathigi
Автор

Heard it in Kingdom seekers Nakuru,
This is the song of Moses in Exodus 15, after a mighty deliverance out of the hand of pharaoh and his host and walking in the red sea on dry land

May it be our song of deliverance too in Jesus mighty name Amen hallelujah

rossyfavor
Автор

Wooow, Keep it up my husband, all glory to God

upendoepafrodito
Автор

i thank God for saving me, i was on the verge of death...now i feel that nothing is sweeter than serving God

patrickKitambo
Автор

This song has been on repeat for a month
LYRICS:-
Uinuliwe Yesu, wewe mwema*4
Uabudiwe Yesu, wewe mwema*2
Utukuzwe Yesu, Wewe mwema*2
(Ee Bwana katika Miungu yote,
Ni nani aliye kama wewe
Utukufu katika utakatifu
Mwenye kuogopwa katika sifa
Uliyevuma kwa upepo wako,
Bahari kafunikiza adui
Wakazama kama risasi
Risasi ndani ya maji makuu)*2

Uinuliwe Yesu wewe mwema X2
Uabudiwe Yesu wewe mwema X2
Utukuzwe Yesu wewe mwema X2

Wowowowo wowo, wowo

Great Work Pastor Bwana azidi kukubariki

alexmwango
Автор

Finaly am here courtesy of kingdom seekers Nakuru worship team🇰🇪🇰🇪be blessed for such a powerful song

nancywaithera
Автор

i don't know how i found myself here but what i can say is that i am blessed with the song🇰🇪🇰🇪

stephenmaesh
Автор

To you who is scrolling through the comments remember you're amazing❤

Johnnyambu
Автор

Now I understand why vita ilikuwa kubwa...Kazi njema sana.The song Has content sana aseeee.Imeshiba nenoo aseee..

gwamakamwakalinga
Автор

Can't get enough of this song from America, ❤🇺🇸 Nakuru kingdom seekers kazi mzuri, wakenya tunamjuwa Mungu

douglasmayiani
Автор

*UINULIWE YESU LYRICS By Epafrodito*

Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema

Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema

Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema

Eeh Bwana katika miungu yote,
Ni nani aliye kama wewe,
Utukufu katika utakatifu,
Mwenye kuogopwa katika sifa,
Uliyevuma kwa upepo wako,
Bahari kafunikiza adui,
Wakazama kama risasi,
Risasi ndani ya maji makuu,

Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema
Uinuliwe, Yesu, wewe, mwema

Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema
Uabudiwe, Yesu, wewe, mwema

Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema
Utukuzwe, Yesu, wewe, mwema

Woo wo wo wo Wo wo,
Wo wo wo wo Wo Wo

shadrackkitavi