Martha Baraka - Nakushukuru Mungu (Official Music Video) For Skiza dial *837*3264#

preview_player
Показать описание

Listen to Martha Baraka

Stay in touch with Martha Baraka

For Booking WhatsApp / Call +255743502257

The official YouTube channel of Martha Baraka. Subscribe for the latest music videos, perfomance and More.

#nakushukuru-Mungu #marthabaraka #gospel
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 who's here? Nikifikiria about covid 19 najikuta namtukuza Mungu.

jerubetjoan
Автор

Nipate likes za 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wakenya...wow wimbo mtamu

unclenico
Автор

Tunao uangalia huu wimbo mala kwamala tujuane kwa likes

vicehunter
Автор

Underline the word bahari kuheshimu mipaka yake utaelewa neno Hilo Kwa ndani utaenda mbali sana🇰🇪🇰🇪😂🔥🔥🔥🔥 huu ni wimbo wangu huu mwaka

ericmukabwa
Автор

Tiktok brought me here, who else is here from tiktok because of this lady❤🙏🙌

gnmvnbn
Автор

If you take your time and listen to this song, You will realise this lady is a legend. 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

bonmtalii
Автор

Another level from Kenya twakupenda wapi like

professor
Автор

Akika mungu ni mkuu watanzania nawafuria kofia studio senu ni were

كاراالشغاله
Автор

Wimbo haubagui dini 🇹🇿🇹🇿🔥🔥tunautumia kumshukuru mwenyezi mungu

JoyceMasud-czlt
Автор

Wimbo huu unaguza moyo machozi hayazuiliki mpendwa uzidi kuinuliwa

danielkalori
Автор

Martha mungu amekupa kibali na sauti...napenda Sana nyimbo zako dada, ❤️

CatherineCathy-yjjo
Автор

❤❤❤asante mungu wangu kwa mengi makubwa umetenda kwangu Baba!!! Sifa kwako!

WinfredVungo
Автор

Here in 2024 my first time to know this Wonderful gospel artist 💓💓💓

missdee
Автор

Wimbo mtamu nakuambia nabarikiwa nikiwa Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mungu Akubariki Kwa kazi nzuri

hdfxtzp
Автор

Kama nitafika hapa nilipo Mungu akubariki Kwa wimbo mzurii

GloryMaimu-lggy
Автор

nyimbo nzul san, naomben like zenu namim ni muimbaj mpya

LameckMnyika
Автор

Aki this song aki inanivunja vunja nguvu nikitafakari maneno haya aki mungu aku zidishie uendelee kumtumikia yeye aki mungu ni WA ajabu Sana 🙏🙏🙏. Ni Mimi mkenya kuitwa heri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

blessingselina
Автор

Nakushukulu mungu kamanitafika hapa ubalikiwe madamu matha munguakubalik milele kwahuujumbe Mana umenipauja cliwa kuendeley mbele Amina🙏🙏🙏 💐🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹

hidayanzowa
Автор

Please God open my door 🚪🚪🚪🙏🙏🙏🙌🙏😭😭😭😭😭😭

paulineboke
Автор

Powerful 🎉 who else think she’s a sister to Gloria muliro

juliuskinyanjui