Martha Mwaipaja - Amenitengeneza (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Amenitengeneza ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna Mungu alivyo waajabu kwenye maisha yetu kila inappitwa leo.Chukua muda huu kumwambia Mungu asante kwa kukutengeneza vile ulivyo.

#MarthaMwaipaja#Amenitengeneza#OfficialVideo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama umetengenezwa hii mwaka ya 2025 gonga like tukisonga.

Jehovah is at work ❤

ProspaPhineas
Автор

N wangapi tuko uku 2025 n kutengenezwa n mungu tu 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

WakayanaLawrenceMutambu
Автор

AMENITEGEZA HUYU BABA AMENIFANAYA KUA NEEMA KATIKA WENYE NEEMA ASANTE BABA HER SONGS MAKES
ME FEEL SO SPECIAL IN MY LIFE

gracesamuel
Автор

Kwa kweli ameni tengeneza ingawaj sija tengenezwa vizuri
Basi sifa zimu rudi

Lindalike
Автор

Kama ww ni muislam kama mm naunapenda hii nyimbo nipe like mungu mmoja!!!

hamzamwinyiheri
Автор

Kama umetengenezwa na yes weka like yako hapa. From kenya

zawadicharo
Автор

Nimekuwa nikisikiliza huu wimbo mara nyingi ila leo….Nimeusikiliza kwa kuelewa aliyoimba🙌🙌😭Hakika Mungu amenipenda mimi

tayanamasanja
Автор

😊 God is faithful 🤲🏾🧎🏾.
Amenigeuzia kilio kuwa kicheko, Hallelujah! 🕺🏾🕺🏾

moray
Автор

Ni Mungu mwaminifu Kila wakati 🎉🎉 amenitengeneza pia🙏🙏🙏❤️

gracemutheu
Автор

Kama unabarikiwa na wimbo huu kama Mimi gonga like hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

diamsiagi
Автор

nyimbo tamu sana wapi like na mm nitambe mjini kwa jina la Yesu

abizacknkwankuzi
Автор

Kubariki kila mutu, kwa wibo huu am so blessed for that song 🎵 amen 🙏 🙌 ❤️ 👏 🎉🎉❤❤❤

WilliamOuma-wzkw
Автор

Kama wimbo huu umeipenda kama mm gonga apa pls nipeeni like 30 hapa chini

lucymakungu
Автор

Amenitengeza Baba ..Wonderful song and Video...kama umetengezwa gonga like hapa

samkalm
Автор

Kama nawwe unabarikiwa Kama mm ukiskia huu wimbo gonga like twende sawa Amenitengeneza huyu baba 🙏

blasidajulius
Автор

Kweli ❤❤❤❤❤kakutengeneza vizuri nisiseme sana ila mungu ni mwema

AnnaKimaro-rz
Автор

Tuliotengenezwa na baba hebu nione tabasamu Nene 😊😊😁😁🤗🤗

atukuzwekaleme
Автор

Cette chanson me rappelle ma vie je était rejeté a 14 ans mais Dieu n'a pas permis que je me retrouve dans la rue en passant par ma mes grands parents je suis resté en famille. Aujourd'hui je forme ma propre famille avec une femme et deux enfants.

jonathankabeya
Автор

Amenitoa mbali na kunifuta machozi, kweli amenitengeneza huyu Baba. Amefanya watesi wangu waaibike. Alikuja kama mtawala wa haki kwangu.

georgekajimba
Автор

Amenifany leo kua mama jmani leo wot wliyo kua wananisem limewashukaa dah kuwa na Yesu laha asikwambie mtu ankuonekania wakati washida leo amenipa kicheko amenibadilisha jina jmni

victormeshack
welcome to shbcf.ru