Martha Mwaipaja - UMENIITIKA ( Official video ) For Skiza SMS: Skiza 6983288 to 811

preview_player
Показать описание
#marthamwaipaja#umeniitika
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama unampenda dada martha weka like za kutosha hapa❤❤❤maana anaimba poa saaana🙏

Eliamuimbaji
Автор

Nani kama martha mwaipaja nyimbo zake n 🔥🔥🔥🔥hii comment nachia watakao isoma 2030 wajue nilipita hapa

FelisterminooMutevu-kkrk
Автор

Kama unapenda nyimbo za Martha mwaipaja gonga like hapa ❤❤❤

fjhqxkr
Автор

Amen 🙏 na Mungu akubariki sana kwa kugusa moyo wangu kupitia nyimbo zako, naomba kama naezapata kibali machoni pa Bwana Mungu na machoni pako, nipate kukutana na wewe ili nipokee hiyo Neema ambayo umeibeba. Naitwa joyvictory kutoka Kenya ndo nimeanza kuimba na wewe dadangu ndio my role model katika uimbaji, yaani ukinikubalia naomba kuimba nawe hata kama ni wimbo mmoja nipokee hayo mafuta na nijue ni wapi Nina upungufu katika uimbaji wangu. Mungu akubariki sana dadangu

joyvictory
Автор

Kama unamkubali huyu dada gonga like hapa

lukamavoice
Автор

Nyimbo nzuri, ujumbe 💯, Kenya 🇰🇪 tupo ndani♥️♥️♥️♥️♥️♥️

collinskenya
Автор

Marthe mwaipaja u never disappoint, you are the queen of gospel songs. God bless you🙏
Wakenya kujeni tubarikiwe hapa na mnipe likes huu msimu wa maandamano.🇰🇪🇰🇪

kiprotichbelio
Автор

WIMBO NILIUCHEZA SANA KWENYE HARUSI YANGU HUU!
NAUPENDA SANA!❤❤

annamulungu
Автор

Asante Mungu kwa makuu uliyowatendea watoto wangu, Umewakubali, umewaitika na kuwaheshimisha Amina❤❤❤🎉🎉🎉

adelinelyaruu
Автор

Kenyans where are you nice song blessings from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

wkjshsxbbsbs
Автор

*Beautiful Song, Team Kenya jambooo.* 🇰🇪❤🎉

ivanswift
Автор

Tunaopenda hii Gospel ifike juu #1 on trending, wajue Mungu yupo tujuane kwa likes 😘❤️
🙏🙏

MafuruBM
Автор

AKSANTI MUNGU KWANI WEWE TU UNA STAHILI MAISHANI MWANGU. UMENIITIKI NGISI NILIVYO 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 WEWE NI BABA

reagankasongo
Автор

Nyimbo nzuli sana! Love kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️

HavyarimanaEtienne-qhem
Автор

Kenya tumesema ndio🇰🇪🇰🇪
You're true and vocalist

simonmuiawisemanmusicministry
Автор

Huku Kenya tunasema kitu kuruka, Yaani kitu iko, kitu therapy. You're a blessing to many. Love from Kenya Kamkunji grounds❤️💙👏👌💪🏼

geoffreyonkoba
Автор

N penda nyimbo zako mamaa ubarikiwe mungu azidi kukuenua kwa kipaji

Sali-drxx
Автор

Martha ndie mwimbaji pekee wa kike Africa mashariki na kati ambae hajakubali wimbi la umaharufu limbadilishe kwa muonekano na pia msimamo wake wa kiimani. Hivi karibuni Sanaa ya ulimwende imemdoe sana. Nimemuona akijaribu ulimwende lakini dhamira zake hazimrusu kabisa. Naomba Mungu amlinde kutokana na mtego huu. Dada Mungu akuepushe na kufuru zote na akiinue kichwa chako juu ya kila mawimbi. Amin.

Instructor
Автор

Keep up the good work mama Kenyan in the house fanyeni ile kitu please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

marymmbone
Автор

Nikiskia huu ngoma naskia raha moyoni...yaani sijui jinsi ya kueleza..mungu ni mwema kila wakati

mtbgxqi