KUMEKUCHA USO KWA USO WEMA NA WHOZU KWA VUNJABEI TAZAMA MANUNU ALIVOMNGATA MORISON

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mrudiye mungu wako dadaangu dooo mungu awe pamoja nawe😢😢😢😢amen

kelvinirichard
Автор

Eeeh jamani muacheni wema wa watu kila mtu anamapungufu yake hakuna mkamilifu utofuti ni kwamba yeye anajulikana kwenye mirandao sisi hatujulikani.

matridasambali
Автор

wema si ulisema umeacha pombe jamani😅😅😅

aboudijaaboudija
Автор

Jamani ata kama usanii jaribuni kujisitili tumbo nje mtu mzima

adelinabaitu
Автор

Wema umezeeka kamwil kaka utamaniki kiuso ka kibibi

HamisYahaya
Автор

Morrison kashazoea maisha ya bongo😂😂😂

DavidMbwilo-qkbz
Автор

Mbona una chitia tu kila siku hadi una paniki unautamu tena mvuto umeisha una jikaza kaza tu

kanezajoella
Автор

Unaona sasa unavyodhalilika wanakusanif wanakukejeli wanskuina kama kikatuni tafakari sasa kazi kwako huko unapoelekea sio paziri thamani yote itaisha utakapo pita utakuwa unazomewa huna hadhi tena rudi kwa mola wako wewe ni muislam mungu anatusamehe makosa yetu ukimuomba msamaha

bongo
Автор

Morrison kachome sindano za kuzuia kichaa cha mbwa.😂

shyfettymtunda
Автор

Yani huyu mama amezidi kukauka kimezeeka lakini bado kinajiona kischana mama rudi kwa mola wako japo huo mda mchache uliobakiza muombe mungu wako sii unaona sasa mpaka unachukua watoto wadogo sasa wanakukimbia unadhalilika huoni tuu bado huo mfano irafikia wakati hata ukipita sokoni watu hawana hsbari na wewe kama mtu wa kawaida tuu usiejulikana kama sie angalia mbele

bongo
Автор

Huyo mc au mfukunyuku mie mwenyewe alikua ananikela maswali gani yale

LeilaSadik-ow
Автор

Sasa huyu mc nae anategemewa huko mbele atakuja ku host mambo makubwa Kwa style yake hiyo???? Dah!!!

ArthurBobWarburg