UKINGONI MWA YORDANI - NYIMBO ZA KRISTO - LYRICS VIDEO SUBSCRIBE

preview_player
Показать описание
Mpendwa barikiwa sana usisahau kusubscribe ili usipitwe na nyimbo yoyote #Nyimbozakristo #sda #HopeChannelTanzania #RJHOPETV
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nzuri Sana, nyimbo za kusfu huondoa stress

noahsempambo
Автор

Wimbo mtamu sanaaaa. MUNGU Atuongoze hadi ng'ambo ya pili.

norah
Автор

My mother was a devoted Seventh Adventist. This song will forever be entrenched in my memory for it was sang yesterday at her burial. May the Lord rest her soul in the perfect peace of God until the resurrection morning when the Lord will call forth His Faithful. 🙏🏽

annahkimani
Автор

Eeeemen halelluia asifiwe yesu milele yote na waimbaji kwa sauti zenu zakuburudisha kiroho

janetbahati
Автор

What a blessed and powerful song!
Kweli tutakaa pamoja Na Yesu

pastorgeorgeolelemein
Автор

Tutakaa pamoja yesu na kumwona hiyo no furaha isiyo na kifani

debymlinga
Автор

So sweet beyond description. Tutakaa na Yesu katika pwani yenye raha. Amen, Amen, Amen.

caleboloo
Автор

Every time, every moment, I listen to this beautiful song again and again.Whenever I feel down, my faith is restored💖💖💖

ROMARIOSHIKUKU
Автор

I remember Ukwata tulikua tukiimba huu wimbo enzi za secondary school

warrenhenrick
Автор

Wimbo wenye matumain sana MUNGU awabariki sana waadventista kwa nyimbo zenu nzuri

olooooko
Автор

Nice song with assurance of our hope in God. Be blessed

irenesang
Автор

Natomenye amo na yeso
Kisii language... Blessings 🙏🙏

dennismatthew
Автор

Tutakaa pamoja na Yesu... Milele hata milele... Hallelujah 💞

lilynyariki
Автор

Your songs makes me more closer to Jesus because of the message

wilsonchepkwony
Автор

Awesome song. Gives me hope and assurance of God's love.

nancymuigai
Автор

Ameeen. Ameeen. Glory be to God.

jakee
Автор

Barikiweni na SABATO ikawe njema kwetu sote. Amina.

chrispinemabwenga
Автор

Indeed !!it will be a great day for us all

wycliffenyaosi
Автор

Kwa kweli kuna injili neno la kweli kwa kuwa dhahili huu wimbo halisi una wenyeji KANISA LA MUNGU Kwa kweli walimwengu kuna wajuao kuna KANISA LA kweli Duniani

dennismuchai
Автор

Favourite grand pah song ..rest well miss you everyday ...take care of grand mah miss you both everyday🙏🙏

adammullah