AUNT EZEKIEL, WEMA SEPETU USO Kwa USO Zanzibar, UWOYA, WOLPER Wanogesha MICHENZANI RED CARPET...

preview_player
Показать описание
AUNTY EZEKIEL, WEMA SEPETU USO Kwa USO Zanzibar, UWOYA, WOLPER Wanogesha MICHENZANI RED CARPET...

MASTAA Mbalimbali wamehudhuria hafla ndogo ya Michenzani Red Carpet Gala, ambapo imewakutanisha nyota hao kwa pamoja. Stori imekuwa kubwa baada ya Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kukutana pamoja jukwaani, huku Irene uwoya na Jackline Wolper wakiwa pamoja nao...

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mumeniuzi wema hamja muonesha mpka mwisho..

Babyzay
Автор

Nyny washenzi Mambo hayo fanyeni kwenu bara Zanzibar iyacheni

aminaomar
Автор

Hapana chezea wema .wema na nyota yake

tabumussa