TAZAMA UWEKEZAJI MPYA WA MSANII DIAMOND PLATINUMZ/ ''Mnaweza Niona Freemason''

preview_player
Показать описание
Mwanamuziki wa Bongofleva kutoka hapa nchini Nasib Abdul aka Diamond Platinumz Mei 19,2023 Alitembelea Kituo Atamizi Cha Kilimo Cha Vijana Wa Programu Ya Building A Better Tommorow (BBT) Cha Bihawana Jijini Dodoma.
Diamond Aliwapongeza Vijana Hao Na Kuwasihi kufanya kazi kwa Bidii kwani Kilimo kinaweza Kuwatengenezea Utajiri Mkubwa hapo Baadae.
#jordanmediaupdates
#jordantv
#SSH
#Agenda10/30
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Basi nimesha ingia kilimo...kama Diamond Platnumz yuko ndani nani mwingine...💪💪💪🦁

muntueric-oyty
Автор

Hongera Diamond Una muono mkubwa kilimo ni biashara kubwa sanaa pia tafuta wataalamu wazuri Kwa sababu pesa ipo

fidelfidel-jziw
Автор

Sion mchafu hata mumoja mnalima kwenye lami au mondi ee unatuooteza maboya rafikiyangu❤

josephfrank
Автор

We mkundu kabisa .Alikiba ndoo anakaza . Harmonize ana mashamba ya miwa

nathan
Автор

Make sense diamond akiwa amesoma tu angalau adi deploma huyu jamaa ni very very genius

jastinmbena
Автор

Sa jaman hawa wakulima au waigizaji 😂😂❤

josephfrank
Автор

Haya ndiyo mambo yanatakiwa kuwajenga vijana siyo kila siku kueneza siasa za chuki hazitasaidia kitu bali zitazidi kuligawa taifa

allymusira
Автор

Hawa ndo wawekezaji tunaowataka sio WA ugaibuni ukienda kwao watoi fursa kwetu wanataka fursa

issakwisamwasanjobe
Автор

Watu wenyewe hawana muonekano wa wakulima, hapo sanaaa inaendelea

harunmanura
Автор

😄😄😄😄😄baada ya kusikia kiba kasifiwa na raisi kwa kuingia kwenye kilimo Cha nyanya Basi kila mtu anaingia kwenye kilimo

rashidyally
Автор

Yaani media Za Kipumbavu bhana. Yaani Diamond Kenda Kutembelea Wao wanasema Anafanya na Maelezo yake anasema anataka Kuingia Kwenye kilimo

farijala
Автор

Tusubili igizo la lajabu aka kilandage🚬😁

salumjrsaidjr
Автор

Kilimo kinalipa Kama kitakua Cha kisasa

abuuramadhan
Автор

Uzuri wa Mondi haongei kwa mdomo vitendo tu

Lundege_Hips
Автор

Acheni uongo nyinyi maboya tu mumeona king kiba kaonyesha uwezo wake wakilimo nanyinyi muna copy hapo hapo musituone sisi maboya fala ninyi

kangaserondigoza
Автор

Fwatilia ili upate kuelewa zaidi Siri iliyo fanikisha diamond

paschalbenefactornunu