BILLIONEA BAKHRESA AONYESHA UFAHARI WA NYUMBA ANAYOKAA YA MABILLIONI.ANAISHI KAMA YUPO PEPONI

preview_player
Показать описание
BILLIONEA BAKHRESA AONYESHA UFAHARI WA NYUMBA ANAYOKAA YA MABILLIONI.ANAISHI KAMA YUPO PEPONI
#emailmarketing #insurance #harmonize
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ma sha Allah… ALLAH amzidishie. Waliokua hawana ALLAH awape IN SHA ALLAH.🤲💕

umfahad
Автор

Mash Allah
Allah amzidishie zaidi na zaidi na ampe nguvu ya kukumbuka waliokuwa hawana uwezo

salumjuma
Автор

Allah yarzuk man yashaau bihair hisabu

RaibebeBebe
Автор

Masha Allah Mungu amjalie na pepo ya akhera pia

husnamadai
Автор

kwa bahakesa napajua ongo matupu Mzee nimtu mwenye ofu ya mungu kwake masaki

UgweMaster
Автор

Mashallah mwenyezimungu humzidishia amtakae

fatumashabani
Автор

Sema tu anayo nyumba mzuri ya kifahari ya mabilioni
Lkn usiseme kama yupo peponi
Afikii kiwango cha peponi

rajabungatanda
Автор

PEPO HAIFANANISHWI NA CHOCHOTE NDUGU.. SUBHANNALLAH

HassanMwita
Автор

Wee usidhalilishe Pepo haifananishwi na chchte tubu

KaghuvaMsuya
Автор

Mungu humps amtakae na kwa wakati autakaona humnyima amtakae kwa wakati autakaona

ZainaRashid-tm
Автор

Mwezimungu akampa alhmdulilahi mungu amkumbushe kufanya ya ahela

HawaMkanda
Автор

Mshukuru Mungu KWA YOTE si KWA ujanja wako tukumbuke safari ya mwisho Mungu akuzidishie

madarakaiddi
Автор

UZURI WAKE NI ANAJUA PIA KUTOA KUSAIDIA NA KUWAJIBIKA.ALLAH KARIM.NI MTU MWEMA NA MTANZANIA .

abaskhatoon
Автор

Bro Kwan umeshawah kufka peponi au ndio u chawa.acha kukufuru, .anaishi kifahar Ila sio Kama Yuko peponi masalaam

HashmaSalim
Автор

Acha uongo hata uishi vipi uwe Na uwezo gani ila pepo haita fanana kabisa, chezea pepo wee! (ACHA UONGO)fisadi wee

saadaahmada
Автор

Mm naona upande hospital na upande duka la magari uwanja wa mazoezi aina uzuri wowote mambo yamezidi mengi ndani lkn alhamdulilah

MuhamedAjigar-dwve
Автор

Pepo haiwezi kufanania na kit chcht hap dunian pepo anae juwa mungu mwenyew

Rukiasijahi
Автор

MWAMBIE BAKHRESA ETI MTUME MOHAMED HAKUWA NA KITANDA HATA MOJA ALIKUA ANALAALIA JAMVI TU ALIJUA DUNIA HAINA MAANA HATA CHEMBE NA MTUME ALIKUA KIPEENZI WA ALLAH.

abdulkadirsheikhmohamed
Автор

Wanawapa sadaka maskini kila siku waache waishi maisha yote mazuri....hatuwadai

samwellwiza
Автор

Siwote, kama lazima kukicha tuagize vitu vya bakharesa. Wengine asubuhi muhogo jioni ubwabwa wa nguvu za masikini.

NassourBimkubwq