Tundaman Featuring Spark & Madee - Nipe Repoti (Official video)

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama bado unaenjoy na hii nyimbo, like tujuane

hamisijulius
Автор

2024 and we are still here
These are the best old memories 😍

skteller
Автор

Mimi hawa ndo walifanya nikafukuzwa shule juu ya kubeba radio, likes from kenya

mirukajohn
Автор

Always crying 😢 😭 😪 while listening to this song so emotional 😢 akii wale wa 2024 gather here

AokohEsther
Автор

Me listening to this in 2024 from Kenya, .. wimbo mzuri with Chege like voice ambayo inavutia aisee, , ..likes tukisonga

dellohjoy
Автор

Tunda man napenda mziki zako man sana this song made me cry 2 x before mpaka sahi much love from kenya 🇰🇪

ericbably
Автор

4.7.2024 ❤napenda sana kusikiliza hii nyimbo 😢😢😢 kama unaipenda weka like hapa dear

Jeylin-yxez
Автор

Kama unaamini kuwa kuna tofauti kati ya wanamuziki na wasanii gonga like apa😂

talents
Автор

Daaa wadauu unafiki tuweke pembeni jamani huuu wimbo umeua sanaa wadau hasa kweny real life yaaan, kuhusu kama ume watch may 2024 like hapaa

ivonsilverster
Автор

Huu wimbo ni mzuri sana kwanza ukiwa na msongomano wa mawazo.. I love the song..

valentinanduku
Автор

Hi nyimbo ilikuwa fire na bado firee sana miaka hiyo tulikuwa tunaliimba lote tukiwa pale high school na Mr philipo, ,dah kitambo sana, ✊✊

mrima
Автор

Tunao Tizama hii 2023 tujuwane kwenye like Basi 🥰🥰🥰❤️‍🔥

churasuperstar
Автор

Old is gold.. Respect to spak and tundaman

valentinanduku
Автор

Kamaa unaamini hawa ndo ma legendary Wa mziki Wa bongo na syo wale Wa nyege nyegezi gonga like yakooo hapaaa💪💪👊👊

swaleheismail
Автор

Unyama ni mwingi Kila nikiwaza nasikiliza Ngoma pendwa

SleepyArcade-yqwi
Автор

Mungu awape nguvu wote walo jela kwa kubambikiziwa kesi ipo day mungu atafunguwa mlango, amen

mwamedihamisi
Автор

The best ever collabo there was, there is and will be.Naipenada sana

evansokoth
Автор

Daaaah tundaman spark hiii nyimbo sijawahi choka kuiangalia mlitumia sana ubunifu wa hali ya juuu japo ni ya zamani sana mpewe maua yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

ivonsilverster
Автор

Huu wimbo hunikumbusha wangu wawili nliowapoteza, , , walikua waupenda sana, , coz maisha tuliyoyapitia, , nihaya ya tunda,

JaneMmbone-fdjb
Автор

My favorite song since 2009 till now 2022❤️😥

isaaclamar