Tundaman Featuring Chege - Starehe Gharama(Official Video)

preview_player
Показать описание
#TundaMan #StareheGharama #NgommaTz
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Wanao tazama huu wimbo 2024 tujuane kwa like ❤❤❤👍

Subsribed
Автор

Hii ndio ngoma pekee Diamond na Alikiba wako ndani, , , Hello 2024😂🎉

callmemanyeso
Автор

Nimekuja kuangalia tena hii ngoma 2024.. Ndo nimegundua kuna mondi na kiba kwenye scene moja

EchyMickie
Автор

Starehe Gharama 2023 still hit 🥰❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥 tujuwane kwenye like 🥰🥰🥰🥰🥰

churasuperstar
Автор

2024 ila bado naikumbuka hii ngoma like nyingi kwangu aisee

mrkimlee
Автор

Wenye wako hapa kwa sababu ya muunganiko wa Simba na King mnipee likes

mr.romancer
Автор

Tunda ndo mwamba alowakutanisha mondi na kiba kweny ngoma moja😂

vardyboy
Автор

Another comment kwenye huu mwakaa 😂😂😂😂❤❤❤

dizzonofficial
Автор

KING KIBA NA SIMBA WA TANDALE KWA MEZA.... LEGENDS🔥🔥🔥🔥

djgolden
Автор

Ivi tunda kwanin usiwaludishe kiba mondi na chege meza moja mkatoa bonge LA hits Africa aijawah tokea

babyhayra
Автор

enzi hizo kabla wachambuzi na mashabiki hawajawatengenezea bifu Mond na King Kiba💥💫🔥🔥🔥

sabbathmusiclyrics
Автор

Moto kama mzima ALIKIBA namwona kwa umbaaaali

alexwetaba
Автор

Hii unit among All wasanii nani ali ua diamond alikua ana weza kaa na alikiba🥰🥰

AngelinaMghambi-jcfj
Автор

A rare video that brought Alikiba and Diamond together.
2 stars in this video are icons in Bongo land.

GoEunbeol_
Автор

Hiii ngoma miaka 100 haiwez kuchuja Itaishiii miaka buku 2023 Naangalia ngoma

sumakijaji
Автор

diamond and alikiba were once in the same video😁

daviesmachila
Автор

November 2023 still vibing with this song in kenya aloooo❤❤❤❤

moneymercy
Автор

2023 still rocking with this song in kigali-rwanda👏👏👏👏

muzunguabdulaziz
Автор

My ❤ song kipindi nik kijana mdogo😂😂😂✌🏻ndo nikikuwa natimuwa vumbi

franklukazula
Автор

Wakati shetani hajaingilia Bongo flavor, Diamond and Ali Kiba wangali wana rock pamoja. Love these back days.💥💥💥💥

shouayzieomar