Kontawa X Tunda Man : Haina Kuchimba Dawa (official Video)

preview_player
Показать описание
Nichukue muda huu kukushukulu wewe shabiki yangu kwa kuamini kipaji changu na kuamua kuni support kila kukicha

Mungu awabariki sana

@majagiking
Editor @mjusi_tz
Colour @mudyahmedy
Gaffer @iamdavic
Set @calimax
MUA @___dorothey___
Grip @bokakazi

Stylist by @shakah_stylist_

#HainaKuchimbaDawa

Cc @rojalife_kinoge

#kontawa #hainakuchimbadawa #tundaman
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ameacha wanadamu, ameanza kutembea na Simba🤣🤣🤣🔥🔥🔥

antonyagora
Автор

Video ubunifu mdogo Baada ya colas mngehama apo mngekuwa hata kwenye ndinga sema gonna ni🔥🔥🔥🔥... 💪💪💪

ezekielalfred
Автор

#Mimi nachekaga tu.Mziki ambao umeenda shule. Nawakubali sana.

nicholaskiminza
Автор

Dah bongo tuna Talent africa nzima . Mungu ibariki Tanzania na wasanii wetu.

AA-pdpz
Автор

I must admit Kontawa is a hit maker, much love from +254

ellytie
Автор

Kontawa bro ukikamatilia hii voice namna uliichonga iko shwari niaje bro yaani imetia ka feeling kengine fire sio mchezo .... Big up bro ... Your number one fan from Mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

iddke.
Автор

Ili dude hatari sana. Kama we ni mwananchii gonga like. Ila kama we ni kolo pita speed😂😂😂😜.

mahmoudaziz
Автор

Mnajua mpaka mnakera....big up wahuni wenzangu

modysilva
Автор

yaani huu wimbo n ndani tu naupenda 😙😙😅full support 💯🔥

Yumi-ehmt
Автор

Hapo Kwanza Nicheke 😂😂😂 One love from Kenya 🇰🇪😍

RawleyEntertainment
Автор

Jamani huu Wimbo ni moto wa kuotea mbalii, , , , wasaaniii kama hawa wanaitaji sapoti saaana., , Hiii ndio Bongo Freva Halisi sasa unyuma ni mwingi yaaaani

maulidi
Автор

Tunda man Ngoma Kali keep it up welcome back in music and usinyamaze sna dogo.bado uko top

karimmbaruku
Автор

I do not remember the last time I enjoyed a Tanzanian song this much! Good stuff

bwabiroy
Автор

atunaga kazi mbovuu kontawaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯💯💯💯💯💯💯

rustanistanley
Автор

Hi Kali Hali yamwaka kabas nawapenda san❤️❤️❤️❤️❤️👊👊👊👊

DivineKwizera-uh
Автор

Running out of words, this is a Love from 🇰🇪

omarsirleem
Автор

Kweli hii ngoma kali aisé...
Naudiya marakazaa lakini, utamu wake haukwishi....

#proglad en marche 🇨🇩.

progladtv
Автор

Vibe 100%
Lyrics 100%
Video 100%
You have killed it Men 🤜🤛🇰🇪🇰🇪

ibrahscharo
Автор

Eti “ Chombo iko sawa” haha 🔥🔥 I remember those days listening to Tunda Man, TMK, etc lol
Keep it up Kontawa 👊 Pamoja toka 🇨🇦

abelremi
Автор

Noma sana nilikuwa naisubiri kwa hamu hii one❤

TheNewKid_TV