MIAKA 4 YA MTOTO ANTONY SHULENI, ALIYEMSHTAKI BABA YAKE POLISI 'NAONGEA KINGEREZA VIZURI'

preview_player
Показать описание
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113

LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻

Follow Us On:

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nimejikuta nalia 😭😭 juu ya creativity ya huyu mtoto mungu mjalie huyu mtoto, pia mpe maisha marefu na huyu mzee anayo msaidia

shaibuabdalah
Автор

Hongera Sana Baba mlezi M/Mungu akupe umri mrefu ni wachache Sana wenye roho Kama yako mungu awapiganie kila Atua mtt aendelee kufanya vizuri 🌹🙏

jokhamohammed
Автор

Wee mzazi unaye msaidia Antony MUNGU akubaliki sana kila ukifanyacho kifanikiwe kwa sadaka hiyo

experiuskamugisha
Автор

Huyu mtoto n mtumish mkubwa wa mungu. God bless you in Jesus name.

abdallahrenatus
Автор

The boy always put his almighty God first... His God will never leave him alone too. Stay blessed Anthony. ❤️

jumanatv
Автор

Anthony safi sana. Keep it up. I like a simba fan. Congatulations to Mr Issack for sponsorship may god give you good health and long life. Ameen. I can see anthony's health now, you are keeping him like your son.God bless you. Ukifanya mazuri leo ndiyo faida ya kesho.

husseinkarim
Автор

Antony Full of confidence, May God see you through your studies Amen.

edwinaoduol
Автор

Am a kenyan bt i have followed this story since it started, i like the boy he's very intelligent, handsome may God bless that man who took him

elizabethnjoki
Автор

Hongera kwa Mfadhili ( baba mlezi wa Antony), Antony na Mtangazaji. Nimejifunza mengi mazuri kutoka kwenu. Mungu awabariki. Nikikumbuka Antony alivyokua mchafu na ' mabuyu 'na sahii ako smart, anaweza jieleza kwa English, sifa namrudishia Mola. Mbarikiwe sana

carrenmukolwe
Автор

Having followed this story am very happy to know someone came to his rescue may God bless this Man,

carolinengugi
Автор

Asante mtangazaji kurudisha mtoto huyo 🙏Mungu akubariki .nawenye walisaidi mtoto huyo Mungu awabariki sanaaa 🙏🙏

luendosabah
Автор

Utukufu kwa Mungu wa Mbinguni...
Hongera Bro Issac..
Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza, kukuimarisha wewe na huduma yako.

ndimamsuya
Автор

Every single word God is there, I ve been impressed wd dis little boy. I learn something💪

eliazarinyakiema
Автор

Wow genius baby boy, may the almighty God Brighten his future life 🙏🏿🙏🏽

beera.g
Автор

Brother ISACK Mungu akuongoze, akufanye Mdau katika maisha yako yote. Clip hii imeniliza kwani nilimuona huyu kijana akiwa ngara, Leo ni mpya sio Kama yule .POKEA BARAKA ZA MUNGU MARA DUFU.

edwardmwala
Автор

Anthony is genius, full of confidence and grateful.
God bless this boy

felixmakundi
Автор

Mashaallah Antony amekuwa! Kichwa hiki!❤❤❤, mwenyezi mungu akuongoze uzidi kufanya vizuri, Mpaka machozi yamenitoka

mozasaid
Автор

Ukiachilia mbali majibu ya Anthon huyu Mtangazaji yupo vizuri mnooo 🙌

dutchsafari
Автор

Indeed our God is able.
Antony you are going far and your confidence is on another level.

zipporahkimemia
Автор

Much respect to Mr. is watching you...

Chemba