MIAKA 3 YA MTOTO ANTONY SHULENI NI YULE ALIYEMSHTAKI BABA YAKE 'NITAKUWA MWALIMU'

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ooooh my God wonderful, ni kijana mwenye hekima anaongea vizuri

faithfulphilemon
Автор

I see upcoming Pastor, holy spirit protect that child Amen.

happinessemmanuel
Автор

Huyu anayemsomesha mungu atampa thawabu sana

badenbensoni
Автор

Waoooo...
Mtoto Anthony anakipaji sana,
Amepokea mafunzo ya shuleni vyema.
Baraka za Mungu kama mvua ziende kwa mfadhili aliyejitolea kumsomesha.

Thank you Ayo_tv...🔥🔥🔥

wellbrand
Автор

Mungu akujalie wewe ulie mshika mkono uyu kiumbe ubalikiwe sana

joycekiza
Автор

Huyu mtoto ni mchungaji mkubwa sana Tanzania miaka ijayo mark my word millard

kennedyjastin
Автор

Huyu mtangazaji godtza ni noma anaibua habari kali na anakuwa na muendelezo asante kwa kumhoji mtoto antony

carptentv
Автор

Kwa kweli mungu ni mungu. Hongera kwa aliye jitolea kumuhelimisha Huyu kijana. Hata kizungu yake nisafi sana. Pongezi nyingi kwa mwalimu wanao msomesha Huyu kijana. Watching from LONDON.

jacintaitumo
Автор

Am so proud God is faithful following this angel from, Kenya

daisytarus
Автор

Mm namuona Huyu mtoto ni kiongozi ajae yaani ana uwongozi ndani yake . Mungu amuongoze
In shaa Allah

abdulrahmanhassan
Автор

Mungu naomba umzidishie yule aliyejitolea kumsomesha Antony

witneyjerry
Автор

I've been following from Nairobi Kenya I'm a grandmother n i love this child's interest in education it will tranform his family lives at home n Tanzania as a country may God bless his God parent n teachers for this far also the pioneer of this whole episode may blessings of our Lord be upon you all.

elizabeththiongo
Автор

Kijana yuko vizuri nimependa sana confidence aliyonanayo, , na Mungu amuongoze vema Inshaallah hongera pia kwa wahisani walioamua kumsaidia Mungu awape mwisho mwema.

amirimkinga
Автор

He speaks so well. May God continue blessing you to be what you want in life.

rachelmbeyu
Автор

Hongera sana kwa mzazi ulie jitolea kumsomesha huyo mtoto Mungu akubariki sana

chazzstar
Автор

MUNGU UFANYA NJIA PASIPO NA NJIA NIMEPENDA SANA HII KAULI INAFUNDISHA WATU KUMWAMINI MUNGU KWA KILA JAMBO 🙏🙏

experanciamom
Автор

Mwenyezi Mungu Atambariki sana huyu jamaa aliyejitolea kumsomesha In Shaa Allah...

rashidkalimbo
Автор

He has a confidence wich will lead him through his dreams.

allywilson
Автор

Ana ongea kama mchungaji he’s beautiful ❤️

marthamshana
Автор

Jaman huyu mtoto huwa ananitoa Sana machozi! Asante yesu kwa kuendelea kumpa afya na saiv anaendelea vizuri kimasomo.

evamariadaudi