Christopher Mwahangila - Yesu Bado Ni Baba (Official Music Lyrics)

preview_player
Показать описание
#Subscribe
#255716620000
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nipeni likes the first to view and comment

princemuli
Автор

Yesu ninakutengemea wewe ndiwe baba yangu .katika majaribu ninayo pita..wewe ni baba yangu.wimbo mzuri sana.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

jenifamuia
Автор

Going through a difficult time now, i lost my mother 😢 Yesu nimekutegemea

rasbaby
Автор

Whoever reading this, Yesu bado ni baba yako , God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Mtegemee yeye tu and Just trust in him. Amen

praiseandworship
Автор

😢😢🙏🙏🙏😭yalinde maisha yangu ....yesu nakutegemea 🙏🥹..I can proudly say I'm not fatherless 😢ady father's day wewe ndo nategemea

joycemuthoni-ee
Автор

Nakutegemea Yesu. Your everything in my life. 🙏🙏.

livingstonemulera
Автор

Yesu nilinde mm na family yetu na watoto wetu tunakutemea

Catherine-nezd
Автор

I love everything about you song be blessed sir much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

margaretndichu
Автор

It’s 2024 24th Jan lord intervene and change my life nakutengemea 😢🙏🏾😞

CharityBlessed-jfzk
Автор

Hii wimbo unanimbusha mengi sn ambayo nimeyapia kimaisha, so interesting song

khalud
Автор

YESU ninakutegemea wewe ndiye baba yangu nipitishe katika changamoto univushe salama

FrankDaud-stpv
Автор

Yesu ww kwangu n kilakitu katika magumu nipitayo ww bdo umekua bab kwangu hat nilipo India gerezan ni ww ulie nitoa cwez kuach kuutamuka ukuu wako

Teresiamwagange
Автор

Tujapopita kwenye magumu bado atabaki kuwa baba

princetevee
Автор

🔥🔥🔥 yesu ninakutegemea wew ndiwe baba yangu ubarikiwe mtumishi wa mungu mungu azidi kukupa nguvu 🙏🙏

mwamini-xron
Автор

Jaman huwa napenda sanaaa kusikiliza hiiii kwaya inanipa faraja sanaaaa

ElizabethShayo-rxqi
Автор

Mtumishi Mwahimgela unanibariki Sana kupitia wimbo...kweli umebarikiwa Kwa kipawa

mosesmwatikaa
Автор

You're a blessing in my life sir, your songs always give me hope when feeling low..God, you are the hope of my glory.

mercyhassan
Автор

Listening from Nairobi Kenya I can't stop . I love it

nancycherotich
Автор

Yesu nakutegemea wewe ndiwe baba yangu

juliansarah
Автор

I don't understand the language but i love the song... from Lusaka Zambia 🇿🇲

tymansphiri