Chris Mwahangila - Nitetee Gospel Song SKIZA*860*655#

preview_player
Показать описание
Chris Mwahangila presents his latest gospel song "Nitetee".
Kwa Mawasiliano
+255 716620000
+255 756068844

+255 716620000
+255 756068844

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 am still here, everyone praying God to fight their battles hit like and shout amen

patrickkimeu
Автор

Niliimba huu wimbo 2019 si usiku si mchana wakati kila mtu amenitenga, naniko na mtoto wangu halimaututi 1month in I.c.u without any change, sikukua hadi na nguvu ya kuomba lakini kupitia huu wimbo mungu alishuka na aka ni tetea hadi watu hawakuamini, thank you God 🙏 🙏 🙏

kentymuhonja
Автор

Nitete Mungu wangu ....2021 still here....Any person reading this may the Almighty locate your peace and harmony 🙏...you wll make it God's name

jackiephyll
Автор

Its 2024, let this be your break through year in Jesus name, Amen
Nitete Mungu wangu, what an awesome song

jobagakajoseph
Автор

My Kenyan brothers and sisters wapi likes za hii song

francisaula
Автор

2024 and still listening to this song 🎵 Lord fight my battles and my enemies 🙏 i am trusting the Lord to open doors this year AMEN

lynnmutai
Автор

Ninao ushuhuda katika wimbo huu! Nilimuona Mungu katika viwango vikubwa mno. Asante sana, Mungu wa baba zetu, Ibrahim Isaka na Yakobo. Litukuzwe jina lako, Mungu uliyeumba mbingu na dunia, Utukufu ni wako. 🙏🙏🙏 Ninakushukuru kwakuwa hukunitetea tu, bali uliniweka katika viwango vingine!

marymichelle
Автор

Whoever will listen to this song sing it like a prayer before the LORD for HE is a man of war you shall be victorious.

roseemmanuel
Автор

Am here to testify, some days ago I had no money to clear my third year fees .I was Soo helpless, coz there is no way ungefanya papers without having cleared .
I remember this song and locked myself inside my room, cried helplessly asking God anitetee, I cried like an hour helplessly yaani unalia kama mtoto crawling kwa floor .I checked my phone later to find someone had sent me the remaining balance and extra cash .
God do tetea watu, he says am close to the broken hearted, trust me he is .
It may seem like it's done on your side, but God hatumiangi watch same na yeti .
Be patient.

margaretnderitu
Автор

Nitetee Mungu wangu siwezi bila weww, ,shuka Mungu fungua njia pasipo kuwa na njia, , maadui zangu wote wanyamanzishe wote eeh Mungu, , , Nenda mbele yangu Mungu, Na nitashukuru

annetk
Автор

Ni imani yangu kwamba Mwenyezi Mungu wangu tanitetea, mwishowe maadui wangu wote wataaibika watapoona nimeinuliwa na Mungu wangu.A very good song.God bless u my beloved bro Chris.

wafulawasieba
Автор

Wapi likes za wana WA mungu.... Wacha mungu wetu atutetee maana hatuwezi bila yeye

josephinemwambe
Автор

I always listen to this song countless times, it removes stress

MirriamMunthali
Автор

Mungu nakuomba unapotetea wengine nami usiniache i need your presence God our enemies are stiil fighting us God take us through the hard moments we go through thanks God

amosmokaya
Автор

Nitetee mungu wangu ooooh bikanaao amen hallelujah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣️ hahaha kweli wonderful song may God bless you amen 🙏🙏🙏 amen hallelujah ❣️🌹💐 amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh bikanaao amen 💪👍🏽

CatharineNasipwondi-lkhl
Автор

Ahsante Sana kwa wimbo wenye ujumbe mzito. Hakika hatuwezi sisi wenyewe! I can't stop listening this song! Ooh my God! You always bless the blessed ones! Nitetee na Mimi nikasimame kati ya wabarikiwa! Siwezi peke yangu. Amina📖📖📖

aradiuskatigano
Автор

Thank You Lord... keep fighting for me and my family

stellak.
Автор

A true definition of gospel, inspired by the holy spirit of God, it inspires, uplifts and gives hopes all the time!

markkipkemboi
Автор

Nani mwingine inasikiza 2020 mungu hapa tukieda....

gracenjeri
Автор

Nimesikia minongono ya adui zangu, wengiii wanasema tuone atafika wapiiii?? Fanya kitu BWANA WAKUJUE ....Niteteee MUNGU...
Be blessed bro

captaindiego